johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ni aibu na ujinga mkubwa kwa Dunia ya leo kuongelea mambo ya ushilikina kwenye mpira,Game imeisha Simba inaelekea nusu fainali kwa mbinu ile ile waliyoitumia kuwatoa Mufulira Wonders ya Zambia kwenye mtanange unaofanana kwa 100% na huu.
Hatimaye Simba wamempata nyani kama yule wa wakati ule aliyefanikisha ushindi ule.
Safari hii shukrani za pekee zimwendee babu tale wa Morogoro.
Hadi mwisho ubao utasoma Simba 5 Kaizer Chiefs 0
Nawewe unasemaje kuhusu hilo? Je wewe sio miongoni mwawahanga waubaguzi huo? Je unafurahia zile dharau namajivuno, nyodo na kujikweza kwa kocha wa kaizer? Kivyote iwavyo lazima wagonoleshwe hii leo pale kwamkapa manina zao!Ni aibu na ujinga mkubwa kwa Dunia ya leo kuongelea mambo ya ushilikina kwenye mpira,
Ndiyo maana wazungu walisema mtu mweusi ni sawa na nyani utabisha?
ndio maana tumemkamata ndugu yetuNi aibu na ujinga mkubwa kwa Dunia ya leo kuongelea mambo ya ushilikina kwenye mpira,
Ndiyo maana wazungu walisema mtu mweusi ni sawa na nyani utabisha?
Acha UJINGA,Wazungu wenyewe ni Washirikina balaa.Ni aibu na ujinga mkubwa kwa Dunia ya leo kuongelea mambo ya ushilikina kwenye mpira,
Ndiyo maana wazungu walisema mtu mweusi ni sawa na nyani utabisha?
Alisema Luc Eymael, kocha mzungu wa Yanga, kwamba mashabiki wa timu hiyo wanabweka kama mbwa na nyaniNdiyo maana wazungu walisema mtu mweusi ni sawa na nyani utabisha?
Ni aibu na ujinga mkubwa kwa Dunia ya leo kuongelea mambo ya ushilikina kwenye mpira,
Ndiyo maana wazungu walisema mtu mweusi ni sawa na nyani utabisha?
Haya simba keshapigwa kimoja huko dakika ya tatu tuSimba iache kujidanganya haina uwezo wa wa kuifunga kaiza 5-0. Forward yenyewe, boko, kagere, mugalu vimeo. Warudi tu vpl wajipange kwa 2022
Kashinda Simba goli moja,Inshallah na mengine yanakujaHaya simba keshapigwa kimoja huko dakika ya tatu tu