J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 May 22, 2021 Thread starter #21 NAWATAFUNA said: Kashinda Simba goli moja,Inshallah na mengine yanakuja Click to expand... Simba 5 Kaizer Chiefs 0 Tuishukuru milima ya Uluguru!
NAWATAFUNA said: Kashinda Simba goli moja,Inshallah na mengine yanakuja Click to expand... Simba 5 Kaizer Chiefs 0 Tuishukuru milima ya Uluguru!
NAWATAFUNA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 13,284 Reaction score 24,047 May 22, 2021 #22 johnthebaptist said: Simba 5 Kaizer Chiefs 0 Tuishukuru milima ya Uluguru! Click to expand... Ninemsha poteza matumaini,angalau kipindi cha kwanza Simba tungeongoza kwa goli 2 au 3 hapo ningekuwa naamani.
johnthebaptist said: Simba 5 Kaizer Chiefs 0 Tuishukuru milima ya Uluguru! Click to expand... Ninemsha poteza matumaini,angalau kipindi cha kwanza Simba tungeongoza kwa goli 2 au 3 hapo ningekuwa naamani.
Crimea JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 25,874 Reaction score 36,030 May 22, 2021 #23 NAWATAFUNA said: Ninemsha poteza matumaini,angalau kipindi cha kwanza Simba tungeongoza kwa goli 2 au 3 hapo ningekuwa naamani. Click to expand... Mmefunga la pili mkuu! Hawa simba watatufanya Yanga tuumie sana wakirudisha haya magoli
NAWATAFUNA said: Ninemsha poteza matumaini,angalau kipindi cha kwanza Simba tungeongoza kwa goli 2 au 3 hapo ningekuwa naamani. Click to expand... Mmefunga la pili mkuu! Hawa simba watatufanya Yanga tuumie sana wakirudisha haya magoli
tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 21,329 Reaction score 28,063 May 22, 2021 #24 Kwa huu mpira simba amecheza kuanzia leo nimekuwa shabiki wao
tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 21,329 Reaction score 28,063 May 22, 2021 #25 Safi sn Simba,fanyeni marekebisho kadhaa,ninyi ni tishio Africa
Senorita23 JF-Expert Member Joined Jul 21, 2018 Posts 388 Reaction score 484 May 22, 2021 #26 Ila nawe kuna mahali unakwama kila mtu alijua simba hatoboi tangu wiki ilopita we umeandika nini hiki?
Ila nawe kuna mahali unakwama kila mtu alijua simba hatoboi tangu wiki ilopita we umeandika nini hiki?