ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Sizitaki mbichi hizi 😁😁Mambo ya Chadema na Ccm yachukulie serious . Ila mambo ya Simba na Yanga usiyachukulie serious, hawa ni watani wa jadi .
Tumewapa assignment wafuke fainali sasa kama ni rahisi😀
My Take
Usitukane Wakunga na Uzazi Ungalipo.🤣🤣🤣🤣
View: https://www.instagram.com/p/C7jdVY-qIcF/?igsh=djM5NWJpenA2OXlq