Simba imefikia Mahala Wanalilia Kombe la Loosers

Simba imefikia Mahala Wanalilia Kombe la Loosers

Mambo ya Chadema na Ccm yachukulie serious . Ila mambo ya Simba na Yanga usiyachukulie serious, hawa ni watani wa jadi .
 
Ngebe zote zimeisha. Vichaka vya kujificha vimeisha. Vyanzo feki vya furaha yao (feisal, nafasi ya pili n.k) vyote hola. Ushindi walionao ni kuwa na msemaji asiyekata tamaa.
 
Back
Top Bottom