Simba imekataa kurudiana na timu iliyowafunga 7-0

Mshalipa deni la mtibwa baada ya kuiba miwa yao
mara ya mwisho kuishi maisha haya simba nadhani halotel ilikuwa haijazaliwa,standa ya mabus Dar ilikuwa mnazi mmoja,uwanja wa taifa leo unaitwa uwanja wa uhuru.wachezaji wasimba baadh waliambulia haya miasha walipopata wasaa wakuitumikia timu ya taifa
 
Hahahaha...

Wangerudiana Simba ingepigwa tena 15.

Bora tu wamekataa
 
Hii timu ya Simba ni ya Hovyo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…