Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mara ya mwisho kuishi maisha haya simba nadhani halotel ilikuwa haijazaliwa,standa ya mabus Dar ilikuwa mnazi mmoja,uwanja wa taifa leo unaitwa uwanja wa uhuru.wachezaji wasimba baadh waliambulia haya miasha walipopata wasaa wakuitumikia timu ya taifaMshalipa deni la mtibwa baada ya kuiba miwa yao![]()
![]()
Ni timu gani hiyo isiyo na jina?
Vv
[emoji23] [emoji23] mnaogopa kupigwa wiki
Gazeti lako ni 2015
Wezi wa miwa nyieeee!
Pogba wa tz nchi imekushinda!
November 4 2015[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbona gazeti ni la 2015.?
Lexus Mayai
Shika ukuta upigwe mkia maana unaupenda sanaHawa mikia wanaogopa zitafika 14
Hawa chura Hata uwaelimishe vipi hawana kichwa cha kuelewaGazeti lako ni 2015
Wezi wa miwa nyieeee!
Pogba wa tz nchi imekushinda!
Mbona hilo gazeti ni la November 2016? Mjinga huamini kila neno lakini mwerevu huchunguza kila neno.hope ushapata jibu![]()
Povu
Hiyo hiyo ya bi hindu ndiyo ilijiunga kifurushi cha wikiHata kama unajitoa ufahamu si kwa kiwango hicho,Gazeti linasomeka Jumatano Novemba 4 2015,tuambie hiyo Simba iliyofungwa bao 7 ni simba ipi?