sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Dau liongezeke basi maana Club imekua mara 3 ya pale ilipokua, na pia hio bilioni 20 kwa sasa si kitu, soka la Tz limekua saizi, si mnaona hata azam tu saizi wanatoa pesa kubwa mno kwajili ya haki ya matangazo tu kwa miaka kumi.
Haiwekani Mo achukue kirahisi rahisi klab yetu yeye na familia yake milele kwa kibilioni 20, maana timu inakua na yeye atakua anapokea mgao wake wa asilimia 49 ambao ataamua mwenyewe atumie mambo yake binafsi au lah,
Na tena anaweza kumpa pesa rafiki ama ndugi anunue hata asilimia 2 tu ili awe na hisa asilimia 51.
Jamani simba tuamke aisee, hivi huyu Mo akitangulia mbele alafu mrithi aje awe mtu kutoka familia yake ambae hata hana hamu na mpira itakuwaje, hapo atakua anachukua mapato yote asilimia 49 anafanyia ishu zake.
Kwa upepo huu naona kabisa Mo yupo mbioni kutoa pesa ya bilioni 20 haraka haraka kabla ngoma haijachanganya, akilipia hio bilioni 20 no ndani ya muda mchache tu atairudisha.
Simba jamani tuamke