Mshana Jr mpira tutaangaliazia wapi? Tusiende uwanja wa Taifa, kama ni uwanjani twende pale kwenye kiwanja chetuohoo!
Kuna ndugu yangu GENTAMYCINE anajidai Yuko Uganda kuikwepa aibu ya jumamosiohoo!
Simba mbovu sana ya mwaka huuHatari sana. Hii inanikumbusha miaka ya 70/80 Yanga mpasuko ukatokea ikazaliwa Pan African. Mzee Wangu Mohamed Said atakuwa na kumbukumbu nzuri sana za huu mpasuko
Hujaona anapost hadi post za Kizungu siku hizi?Kuna ndugu yangu GENTAMYCINE anajidai Yuko Uganda kuikwepa aibu ya jumamosi
Plagiarism tu.Haya Sasa, huko Simba hali ni mbaya sana. Try Again anairoga Simba ifungwe ili Mo aachie timu.
Upande wa Mo na wenyewe unaonekana kuhaha Hadi Cameroun kusaka ushindi dhidi ya Yanga ili kuwapa ahueni mashabiki waendelee kuwa na Imani naye.
Try Again anapambana kumtoa Mo kwenye uwekezaji na amuweke Bakhresa na Dangote tajiri Mo anaenda soka kutoka Nigeria ambaye pia ana uwekezaji mkubwa hapa bongo.
Pia Soma:
- Tetesi: - Salim Abdallah ‘Try Again’ katika jaribio la kumng’oa Mo Dewj Simba!
Endeleeni kutunyetisha habari moto moto zilizopo na zinazotarajiwa kujili.Shukrani Mkuu.