Tetesi: Simba imepasuka. Kuna Simba ya Try Again na Simba ya Mo, Kila upande unauroga upande mwingine

Tetesi: Simba imepasuka. Kuna Simba ya Try Again na Simba ya Mo, Kila upande unauroga upande mwingine

Haya Sasa, huko Simba hali ni mbaya sana. Try Again anairoga Simba ifungwe ili Mo aachie timu.

Upande wa Mo na wenyewe unaonekana kuhaha Hadi Cameroun kusaka ushindi dhidi ya Yanga ili kuwapa ahueni mashabiki waendelee kuwa na Imani naye.

Try Again anapambana kumtoa Mo kwenye uwekezaji na amuweke Bakhresa na Dangote tajiri Mo anaenda soka kutoka Nigeria ambaye pia ana uwekezaji mkubwa hapa bongo.

Pia Soma:
- Tetesi: - Salim Abdallah ‘Try Again’ katika jaribio la kumng’oa Mo Dewj Simba!
Dahh mwanetu jaribu tena pamoja na kula gamba lake la diploma ya uongozi kutoka FIFA nae kajiuzulu, sasa mkisifiwa na Rais wa FIFA nani atawaambia maana mwana yupo karibu sana na Rais wa FIFA.
Screenshot_20240607_033813_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom