Tetesi: Simba imepasuka. Kuna Simba ya Try Again na Simba ya Mo, Kila upande unauroga upande mwingine

Dahh mwanetu jaribu tena pamoja na kula gamba lake la diploma ya uongozi kutoka FIFA nae kajiuzulu, sasa mkisifiwa na Rais wa FIFA nani atawaambia maana mwana yupo karibu sana na Rais wa FIFA.
 
Hongereni majasusi, mkiongozwa na jasusi mwandamizi Nifah
[emoji23][emoji706] mmbeya ana cheo cha ujasusi? Unaujua ujasusi wewe. Mtu kuwapa udaku amekua jasusi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…