Simba imepiga bomu Mochwari, Kelele kama zote

Nyie hamjacheza hata mpira wa mchangani, ndo maana vitu serious mnawaza utani, Angalia Janwing Galaxy timu ilizozifunga tangia hatua ya makundi, mpira wa Tanzania umekua, mbona Yanga haikumfunga Mediama goli hizo 6? Tunazipongeza timu za Yanga na Simba kwa kuvuka hatua hiyo, timu zote zilikuwa kwenye makundi magumu sana.
 
Tulipotoa sare ya 2-2 na Al Ahly mlisema mkikutana naye anakula 5.
Tumewazoea
 
Simba Sports Club mbovu imetinga Robo fainali CAF Champions League ikiwa na alama 9 yaani ndani ya michezo Sita ambayo imeshuka Dimbani .

Ikifunga mabao 9 na kuruhusu nyavu zake kuguswa mara mbili huku Golikipa wao Ayoub Lakred akiwa na Saves 13 Kibindoni.

[emoji117]Yanga timu Bora imefuzu Robo fainali ikiwa na alama 8 ikifunga mabao 9 na kuruhusu mabao 6 katika nyavu zao huku Golikipa wao akifanya Saves 16 ndani ya mechi Sita .

Kwa kifupi @simbasctanzania Ina UKUTA imara CAF Champions League kuliko Yanga ambayo imefungwa mabao mengi na kuruhusu mabao mengi pia .

[emoji16]Yanga Ina UKUTA WA Makuti watu wakilenga Hadi DIARA ATOE mchomo [emoji125]..

[emoji3578]YANGA WANA MENGI YA KUJIFUNZA KWA SIMBA KWENYE HIZI MECHI ZA CAF CHAMPIONS LEAGUE.
 

Maneno ya mkosaji hayo @ Mleta Mada.
 
Umesahau zile bao 5?
 
Hebu Rudi kwenye nyuzi zako kabla ya mechi ya Jana... Halafu ujipime kuwa wewe ni zoba au zuzu!
 
Acha nyege za kitoto wewe kijana wa mangungu, unapotaka kulinganisha mambo ulete na fact zilizoshiba, Leta hapa kundi la Simba na ulete hapa kundi la yanga alafu ufanye comparison ya Kila timu ubora wake na mafanikio yake kwa Kila timu nafikiri utaeleweka vizuri!
Labda nikusaidie kidogo simba alikuwa na Asec mimosas, wydad CASABLANCA, na jwaneng galaxi, katika timu hizo zote akuna ata moja inayoweza kuchukua point mbele ya yanga!
Kundi la yanga kilikuwa na Aly ahly, Belouzdad na medeama, timu zote hizo ni mabingwa wa nchi zao na pia kwenye rank za caf Aly ahly ni namba 1 na Belouzdad ni namba 7 hivyo usilinganishe matokeo ya Simba kwenye group stage yake ukalinganisha na yanga kwakuwa timu hizo zilikuwa zinakutana na timu zenye uzito tofauti kabisa!
 
Hebu weka fact zinazonesha belouzdad ba medeama zina izidi waydad na Asec kimafanikio ili tuelewane vizuri
 
Kwani Kundi la Yanga nani hakuwahi kufungwa na Simba ?

Huyo Al-Ahly anaye waongoza alishika nafasi ya pili kwenye kundi letu.
Na alichezea Kichapo kwa Mkapa

Yanga toka izaliwe ndio inaingia robo fainali Club Bingwa kwa mala ya kwanza mwaka huu.
Baada ya miaka 100 ya kutapatapa patupu.

Na imeingia Makundi baada ya miaka zaidi ya 24.
Kwenye medani za Kimataita Yanga kaa kimywa kwa Simba.
Sema Masikini akipata.
Matemate mji mzima.
 
Yanga kacheza fainali kombe la shirikisho barani Africa msimu uliopita, Simba aliishia wapi? Katoka kule kaingia robo fainali klabu bingwa na Ana uwezo wa kwenda nusu fainali, Simba kupambana misimu 5 anaishia robo iwe shirikisho iwe klabu bingwa na kakusanya point 39 kwa misimu 5, yanga kakusanya point 31 ndani ya misimu 2, sijui timu Gani inatakiwa ijifunze kwa mwenzake?
 
Hapa tunaongelea Club Bingwa.
Fainali za walioshindwa Simba tulishacheza na Stela Abijan.
 
Wydad yuko nafas ya ngapi kwenye rank za CAF? hebu jibu hili kwani?
 
Wydad yuko nafas ya ngapi kwenye rank za CAF? hebu jibu hili kwani?
Je, current form wapoje?Wapo hoi. Hata kusafiri wanasubiri kusaidiwa na chama chao cha soka. Kiuchumi hoi, utawala wapo hovyo. Imewaatihiri sana kwenye ubora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…