Acha nyege za kitoto wewe kijana wa mangungu, unapotaka kulinganisha mambo ulete na fact zilizoshiba, Leta hapa kundi la Simba na ulete hapa kundi la yanga alafu ufanye comparison ya Kila timu ubora wake na mafanikio yake kwa Kila timu nafikiri utaeleweka vizuri!
Labda nikusaidie kidogo simba alikuwa na Asec mimosas, wydad CASABLANCA, na jwaneng galaxi, katika timu hizo zote akuna ata moja inayoweza kuchukua point mbele ya yanga!
Kundi la yanga kilikuwa na Aly ahly, Belouzdad na medeama, timu zote hizo ni mabingwa wa nchi zao na pia kwenye rank za caf Aly ahly ni namba 1 na Belouzdad ni namba 7 hivyo usilinganishe matokeo ya Simba kwenye group stage yake ukalinganisha na yanga kwakuwa timu hizo zilikuwa zinakutana na timu zenye uzito tofauti kabisa!