Aigle
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 1,540
- 7,973
Hao wahuni akina mangungu na gengelake walimfanyia figisu babra hadi akaondoka , yule dada hana tofaut na injinia wa yanga, wako siriaz sana na mipango inayoelewweka..Yanga ya sasa hata ikifugwa wala shabiki halalamiki kwani unaona wanavyojituma tofauti na Simba ikipata goli moja wanaanza show za kitoto.Na sijuwi Yanga wanatowaga wapi makocha wao,alafu Simba tunakwama.
Unafikiri hawa viongoz wa saiv wana uçhung na simba au 10% zao za upigaji na matumbo yao,, halaf mmoja wao tapeli anajiita tajiri afrika nzima,, tajiri gan alishindwa kumnunua aziz ki