Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Wakuu,
Hii team yetu bwana siku zinavyosogea imekuwa jalala. Wenzetu Yanga bajeti yao wameiweka 24 billion sisi eti tukapandisha pia. Ni nini kama sio kutuona mazumbukuku?
Pili inakuwaje mchezaji analalamika hapangwi bila sababu za msingi? Yaani kiongozi anakuja na karatasi ina list tayari. Hayo mambo hufanya Gor Mahia huko Kenya how simba?
Kikao chetu cha juzi na wabunge kutwa tunaiongelea Yanga wakati wao wanaongelea yao.
Tusipoangalia tutashuka daraja kabisa, hivi vikao vya kula ubwabwa na wanzuki havitufai wala kuisogeza team popote.
Hatuna tofauti na gor mahia tena hata hao wametuzidi, yanga wenzetu wako mbali sana. Kikao chetu ungesema kundi la walevi wamekutana yaani ni aibu.
Nahama hill li team.