Simba imesajili wachezaji ambao ni reject kwenye timu walizotoka

babu onyango

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2023
Posts
378
Reaction score
984
Huu ndio ukweli ndugu zangu wa Simba. Wachezaji wote mliosajili ni wale ambao hawakuwa key players kwenye timu zao, yaani kiufupi ni kuwa hawakuitajika na Wala hawakuwa na umuhimu wowote.

Wachezaji wa aina hii mara zote Huwa ni wa gharama nafuu au unaweza kuwapata Bure kabisa maana ni wabovu.

Simba imeingia cha kike tena kwa mara nyingine na safari hii Mo lazima atuachie timu yetu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ajabu mudathiri yahaya kanunuliwa pale azam fc kwa milioni 150 alafu Simba wanavizia vya bure inashangaza.....!!!!
Pia kuna top scorer wa ligi ya Zambia na kapteni wa Mali huko CHAN wamesajiliwa na Mlandege ya huko Zanzibar [emoji1][emoji1]
 
Hata simba ikitoa wachezaji wake wanaweza onekana n wabovu ila huko waendako wanakuwa lulu.
Kikubwa ngoja wacheze tutaona kama simba imeingilia mlango wa kutokea ama la!
 
Hata simba ikitoa wachezaji wake wanaweza onekana n wabovu ila huko waendako wanakuwa lulu.
Kikubwa ngoja wacheze tutaona kama simba imeingilia mlango wa kutokea ama la!
Deo kanda alikuja kwa mkopo na Moto ulionekana
 
Haya maneno tulishayazoea sana. Makocha wa mitandaoni wanaongea sana kama walivyomponda yule mrundi.
Subiri waingie uwanjani kucheza ndiyo utoe hukumu yako.
 
Haya maneno tulishayazoea sana. Makocha wa mitandaoni wanaongea sana kama walivyomponda yule mrundi.
Subiri waingie uwanjani kucheza ndiyo utoe hukumu yako.
Hata mzungu, okwa, akpan,kapama Kibu d kyombo wote tulisema na wamefloo wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…