babu onyango
JF-Expert Member
- Jan 12, 2023
- 378
- 984
Huu ndio ukweli ndugu zangu wa Simba. Wachezaji wote mliosajili ni wale ambao hawakuwa key players kwenye timu zao, yaani kiufupi ni kuwa hawakuitajika na Wala hawakuwa na umuhimu wowote.
Wachezaji wa aina hii mara zote Huwa ni wa gharama nafuu au unaweza kuwapata Bure kabisa maana ni wabovu.
Simba imeingia cha kike tena kwa mara nyingine na safari hii Mo lazima atuachie timu yetu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]