Wewe nani kakwambia kuwa Galaxy akishinda haina maana? Galaxy akishinda atakuwa na point saba na hapo atasikilizia matokeo ya Wydad dhidi ya Asec. Kiufupi hata Galaxy nao wana nafasi ya kufuzuNi kwa sababu moja tu kuwa hata Jwangney galaxy akiifunga Simba haitakuwa na maana yoyote ile kwake. Mwenye nafasi ya kufuzu ni Simba au Wydad iwe kwa kushinda au kwa sare.
Kwa maana hiyo basi na hasa ukizingatia waafrika tunavyopenda rushwa na hongo, NI DHAHIRI TAYARI MAKUBALIANO YA PANDE MBILI KATI YA SIMBA NA GALAXY YAMESHAFANYIKA. kinachosubiriwa ni formalities tu za kukamilisha ratiba. MO Dewji katika mipango ya hivi tunamuamini sana.
Ila cha ajabu sasa ni pale Simba watakavyoshangilia kana kwamba kufuzu kwao ni kwa kupambana kama ilivyofanya Yanga.
Timu ya Yanga inastahili Pongezi kubwa sna
Unapoweka bandiko uwage na misimamo....!Ni kwa sababu moja tu kuwa hata Jwangney galaxy akiifunga Simba haitakuwa na maana yoyote ile kwake. Mwenye nafasi ya kufuzu ni Simba au Wydad iwe kwa kushinda au kwa sare.
Kwa maana hiyo basi na hasa ukizingatia waafrika tunavyopenda rushwa na hongo, NI DHAHIRI TAYARI MAKUBALIANO YA PANDE MBILI KATI YA SIMBA NA GALAXY YAMESHAFANYIKA. kinachosubiriwa ni formalities tu za kukamilisha ratiba. MO Dewji katika mipango ya hivi tunamuamini sana.
Ila cha ajabu sasa ni pale Simba watakavyoshangilia kana kwamba kufuzu kwao ni kwa kupambana kama ilivyofanya Yanga.
Timu ya Yanga inastahili Pongezi kubwa sna
Robo sio shida za simba,inafikiri nusu fainali au zaidi.
Yanga kashafuzu sheikh, hata crb akifunga goli 100 na yanga akifungwa goli 50 na Al ahlyWakuu,
Ikitokea matokeo za mwisho yakawa hivi, ni kwamba safari ya Yanga itakua imefika mwisho kwenye makundi?
Al Ahly 1 - 0 Yanga SC
CRB 6 - 0 Medeama
Pitia page ya cafl Yanga tayar wapo qualified mkuu.Wakuu,
Ikitokea matokeo za mwisho yakawa hivi, ni kwamba safari ya Yanga itakua imefika mwisho kwenye makundi?
Al Ahly 1 - 0 Yanga SC
CRB 6 - 0 Medeama
Wewe fahamu tu, Yanga officially amefuzu, hata asiposafiri kwenda kucheza na Al Ahly.Wakuu,
Ikitokea matokeo za mwisho yakawa hivi, ni kwamba safari ya Yanga itakua imefika mwisho kwenye makundi?
Al Ahly 1 - 0 Yanga SC
CRB 6 - 0 Medeama
Kwanini?Yanga kashafuzu sheikh, hata crb akifunga goli 100 na yanga akifungwa goli 50 na Al ahly
Unateseka ukiwa wapi maana official caf page washaipongeza yanga
Nkua nataka nione numbers.Pitia page ya cafl Yanga tayar wapo qualified mkuu.
Kanuni za CAF zinasema timu zikilingana Points, kigezo kitakachofuata kuangaliwa kwanza ni Head to head, na kwa matokeo ya jana tayari hicho kigezo kimeshambeba Yanga na haiwezekani tena kugeuka.Kwanini?
Wakati point watakua sawa, CRB atakua amemzidi GD yanga.
Sasa hata sheria za caf kuhusu timu zikiwa sawa Nini kinaangaliwa hujui sheikh??Kwanini?
Wakati point watakua sawa, CRB atakua amemzidi GD yanga.
Achana na kigezo cha goal difference, kigezo muhimu cha kwanza baada ya points ni head to head, Yanga alifungwa tatu na hao waarabu na jana Yanga kampiga nne, hivyo head to head Yanga ni mshindi, automatically ameshafuvu.Nkua nataka nione numbers.
Kwa sasa CRB yuko nyuma ya Yanga kwa 6 goals na point 3.
Je kwenye mechi ya mwisho CRB akamfunga Medeama goli 7 - 0 si atakua amemzidi yanga.
Itakuaje. Naomba nieleweshwe
Sheria ishabadirika ikitokea crb akishinda mechi ya mwisho na mediema na kua na point nane kama Yanga then Yanga akapoteza Kwa Al Ahly basi wanatazama walipokutana wenyewe Kwa wenyewe ni nani alimfunga mwenzake goli nyingi ndio anaepita so mpaka sasa Yanga kashaingia robo coz hawawezi kukutana tena na Crb kwenye hatua hii ya makundi.Kwanini?
Wakati point watakua sawa, CRB atakua amemzidi GD yanga.