Mr Confidential
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,532
- 2,415
Ahhh nimeelewa...umetishaSasa hata sheria za caf kuhusu timu zikiwa sawa Nini kinaangaliwa hujui sheikh??
Endapo timu zikiwa sawa point caf sheria zao hawaangalii GD kwanza .. wanaangalia head to head(baina ya timu zinazokua na point sawa).....
Yanga na Crb zikiwa sawa point wataangalia mechi baina Yao ambapo yanga alifungwa 3-0 1st leg akaja kushinda 4-0 2nd leg .. hivo automatically yanga ashafuzu hata akipigwa goli 100 na Al ahly