Simba Imeshafuzu tayari robo fainali

Ahhh nimeelewa...umetisha
 
Nimeelewa sasa..Asante
 
Achana na kigezo cha goal difference, kigezo muhimu cha kwanza baada ya points ni head to head, Yanga alifungwa tatu na hao waarabu na jana Yanga kampiga nne, hivyo head to head Yanga ni mshindi, automatically ameshafuvu.
Umetisha mkuu, nimeelewa sasa.
Nlikua najua kigezo cha pili ni GD.

Mimi ni mwananchi kindaki ndaki....ushindi wa Jana umepunguza machungu ya watoto wa 10hag
 
Nkua nataka nione numbers.

Kwa sasa CRB yuko nyuma ya Yanga kwa 6 goals na point 3.

Je kwenye mechi ya mwisho CRB akamfunga Medeama goli 7 - 0 si atakua amemzidi yanga.

Itakuaje. Naomba nieleweshwe
acha ubishi wa kima.ta.ko
 
Simba makundi robo sio habari tena tunawaza nusu tunafikaje.
 
Wakuu,
Ikitokea matokeo za mwisho yakawa hivi, ni kwamba safari ya Yanga itakua imefika mwisho kwenye makundi?

Al Ahly 1 - 0 Yanga SC
CRB 6 - 0 Medeama
Wewe inaonekana umelewa ulanzi kwani hakuna unachojua hapo.
 
Nkua nataka nione numbers.

Kwa sasa CRB yuko nyuma ya Yanga kwa 6 goals na point 3.

Je kwenye mechi ya mwisho CRB akamfunga Medeama goli 7 - 0 si atakua amemzidi yanga.

Itakuaje. Naomba nieleweshwe
Jaribu kuficha ujinga wako..... Hata ashinde magoli 700 na Yanga afungqw 1000 Yanga ameshapita .... Kawasadie jikoni kukata vitunguu kama Soka hulijui Kanuni zake..usilazimishe..... Wakilingana point kinachoangaliwa sio gaal difference kinaangaliwa H2H....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…