Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Hivi Robertinho mchezaji Mosses Phiri amekukosea nn? Kama Phiri hafai kwanini uendelee kubaki nae wakati msimu haujaanza bro? Hivi kweli Phiri anaweza kukaa benchi kwa Kibu Dennis? Mechi ya leo ya kutambulisha wachezaji humpi nafasi, when are you going to give him a chance to show hicls ability?
Hivi kweli kwa uwezo wa Fabrice ule ni wa kuwekwa benchi na Mzamiru? Kweli jamani au tunataka kuaibishwa na Singida?
Robertinho usije ukasema Mgunda alikuwa anakuhujumu lkn mwisho wa siku wana Simba hawatakuelewa, Phiri anastahili kucheza