Simba imeshatolewa mchezoni na suala la Yanga kwenda South Africa

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Kama mchambuzi mahiri wa soka hapa JF nimeona Simba ikiendelea kujaa kwenye mifumo ya Yanga. Kila kwenye mechi zake hivyo kukosa attention hivyo kuishia kukandwa daily.

Suala la mshabiki wa Yanga kichangiwa kwenda south Africa limeiuza sana timu yetu ya Simba mpaka kufikia Ahmed ally kuongea Kwa jazba na Kwa uchungu mzito so hili suala litawavuruga makolo to their death pale Egypt.

Quatation toka kwa mdau humu JFExy Simba bana, mlisema mashabiki wa Yanga nI maskini hawawezi kujilipia viingilio. Kupitia kauli zenu uongozi wa yanga ukaiomba serikali iwasaidie Hawa mashabiki maskini kwenda bonde. Serikali imekubali hao kwa madiba.

Mnacholalamika nini wakati Yanga ni ombaomba? Au nanyie mnataka msaada ila mbaogopa kuitwa maskini? Tajiri hawezi kuumia pale maskini anaoosaidiwa!

NB: Makolo bado hamjasema, msisahau kuwa ni Young Africans ndio waliopigania Uhuru wa Tanzania.

1711489753647.jpg
 
Aahaaaa

Nakukubari chambuzi la kimataifa
 
Sahihi kabisa na sasahv hata Mangungu pesa ya ulozi hajapewa na MO
 
Ukishabikia sana Simba na Yanga kichwani zinapungua Lazima.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMERUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.

MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
 
Wavuta bangi wengi hupendelea rangi nyekundu.
Wachawi na waganga wa kienyeji hupendelea rangi nyekundu.
Vichaa hupendelea rangi nyekundu.
Waasi na wamwagaji damu hupendelea rangi nyekundu.
Dalili mbaya au hatari hutumika rangi nyekundu.
 
Ukishabikia sana Simba na Yanga kichwani zinapungua Lazima.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMERUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.

MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
Kwanini mkuu
 
Back
Top Bottom