Kama mchambuzi mahiri wa soka hapa JF nimeona Simba ikiendelea kujaa kwenye mifumo ya Yanga. Kila kwenye mechi zake hivyo kukosa attention hivyo kuishia kukandwa daily.
Suala la mshabiki wa Yanga kichangiwa kwenda south Africa limeiuza sana timu yetu ya Simba mpaka kufikia Ahmed ally kuongea Kwa jazba na Kwa uchungu mzito so hili suala litawavuruga makolo to their death pale Egypt.
Quatation toka kwa mdau humu JF
Exy Simba bana, mlisema mashabiki wa Yanga nI maskini hawawezi kujilipia viingilio. Kupitia kauli zenu uongozi wa yanga ukaiomba serikali iwasaidie Hawa mashabiki maskini kwenda bonde. Serikali imekubali hao kwa madiba.
Mnacholalamika nini wakati Yanga ni ombaomba? Au nanyie mnataka msaada ila mbaogopa kuitwa maskini? Tajiri hawezi kuumia pale maskini anaoosaidiwa!
NB: Makolo bado hamjasema, msisahau kuwa ni Young Africans ndio waliopigania Uhuru wa Tanzania.