Simba imeshinda mchezo lakini Yanga tulikuwa bora zaidi yao


Mkuu Mpira haupo hivyo. Unakumbuka kuna mechi simba alipata kadi nyekundu kipindi cha kwanza huku yanga anaongoza goli moja lakini Simba ikaishia kushinda mbili kwa moja pamoja na kuwa pungufu.

Team iliyopungufu huwa inacheza kwa tahadhari na kushtukiza na Jana kama Yacouba angetlia na ile chance nisngee shanga yanga kushinda ile game.

Team ikiwa pungufu inazuia sana na kutafuta nafasi za kushtukiza ambazo ni hatari sana.
 
Inge inge achana na haya mambo ya ngeli
 
Kilichotokea ni simba kucheza taipu ya mpira wa yanga kutokana na uwanja...
 

Tunachojuwa wahuni tumenyandua..

Japo goli moja..
 
Simba wanaweza wakatamba kwa timu zote Ila si kwa Yanga, Yanga ndio timu pekee inayo waonyesha Simba timu yao ni yakawaida na hawana ukubwa wanao ufikiria.
Nipe matokeo umepigwa cha nguruwe watlto kumi
 
Mara ngapi tunawafunga tukiwa pungufu?
 
Simba wanaweza wakatamba kwa timu zote Ila si kwa Yanga, Yanga ndio timu pekee inayo waonyesha Simba timu yao ni yakawaida na hawana ukubwa wanao ufikiria.
Timu ya kawaida inabeba ubingwa back 2 back misimu minne,timu ya kawaida inatinga CAFCL robo fainali ikiwa ya kwanza kwenye kundi lake.,timu ya kawaida inatoa wachezaji kwenye kikosi bora cha CAFCL,kwenye list ya timu bora Africa Simba inashika nafasi ya 13.
Kama utabisha basi bishana na namba.
 
Ayo Mambo ya kucheza robo fainali Mara mbili mfululizo Yanga ilisha fanya enzi hizo misimu ya 1969 na 1970 mnacho fanya Simba ni marudio izo zaligi ya ndani Yanga Alisha beba miaka mitano mfululizo kutoka 1968- 1972 Simba katika soka la nchi hii Hana maajabu dhidi ya Yanga.
 
Nasikia mzee mpili wamemtelekeza kigoma
Mwacheni mzee wa watu,yeye alichokisema toka mwanzo ni kua mkikaa vibaya anawapiga tena si kama kasema hamtoki kama lilivyo lile tangazo la azam
 
Yanga walikua bora kipindi icho cha 1969 na 1970.Yanga pia walibeba mataji mfululizo kama ulivyosema kwasababu kwa kipindi hicho walikua bora.
Point yangu ni kwamba timu bora inafanya vizuri,Simba kwa sasa ni bora ndo maana inafanya vizuri,usiifananishe na Yanga butuabutua yao uwanjani.
 
Duuuuhhh mambo ya 1968 tena!!?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…