Ulikwepo hiyo miaka? Sawa mlikuwa Bora miaka hiyo Sasa kwann hutak kukubali kuwa Simba ni Bora kwa wakati huu?Ayo Mambo ya kucheza robo fainali Mara mbili mfululizo Yanga ilisha fanya enzi hizo misimu ya 1969 na 1970 mnacho fanya Simba ni marudio izo zaligi ya ndani Yanga Alisha beba miaka mitano mfululizo kutoka 1968- 1972 Simba katika soka la nchi hii Hana maajabu dhidi ya Yanga.
Sure,nilitaka kuandika hivi!
Kilichotuangusha Yanga ni Red Card. Laiti kama ile card isingekuwepo palikuwepo uwezekano mkubwa wa Yanga kuibuka washindi
Hebu fikiria kwa dakika 40+ Yanga imecheza wakiwa pungufu ya mtu mmoja lakini Simba kwa muda wote huo wameshindwa kabisa kuziona nyavu pamoja kuwa na wachezaji wao ambao wenyewe wanawaamini kupitiliza katika kutupia, Chama, Miquessone na Mugalu.
Sasa utajiuliza je Wananchi wangekua wametimia matokeo yangesema nini?
Yanga tusife moyo uwanjani tulikua bora,goli tulilofungwa yawezekana kabisa jua lililokua likipiga upande ule lilichangia sana kwa kipa na mabeki kutouona mpira vizuri ikumbukwe hata kipindi cha kwanza kona walizokua wakipiga Yanga upande ule jua liliwasumbua sana hasa Aishi Manula na Mabeki
Ýanga tusife moyo hakika tulikua bora zaidi yao uwanjani, hakika hawa siku zao zinahesabika wacha tushushe vifaa vya uhakika wakiweno Heritier Makambo, Fistoo Mayele na Shabaan Djumaa.
Kuna watu wanasingizia eti walikua pungufu 😀😀Kilichotuangusha Yanga ni Red Card. Laiti kama ile card isingekuwepo palikuwepo uwezekano mkubwa wa Yanga kuibuka washindi
Hebu fikiria kwa dakika 40+ Yanga imecheza wakiwa pungufu ya mtu mmoja lakini Simba kwa muda wote huo wameshindwa kabisa kuziona nyavu pamoja kuwa na wachezaji wao ambao wenyewe wanawaamini kupitiliza katika kutupia, Chama, Miquessone na Mugalu.
Sasa utajiuliza je Wananchi wangekua wametimia matokeo yangesema nini?
Yanga tusife moyo uwanjani tulikua bora,goli tulilofungwa yawezekana kabisa jua lililokua likipiga upande ule lilichangia sana kwa kipa na mabeki kutouona mpira vizuri ikumbukwe hata kipindi cha kwanza kona walizokua wakipiga Yanga upande ule jua liliwasumbua sana hasa Aishi Manula na Mabeki
Ýanga tusife moyo hakika tulikua bora zaidi yao uwanjani, hakika hawa siku zao zinahesabika wacha tushushe vifaa vya uhakika wakiweno Heritier Makambo, Fistoo Mayele na Shabaan Djumaa.
Kivipi yani? Kwa zile karate?.Simba wanaweza wakatamba kwa timu zote Ila si kwa Yanga, Yanga ndio timu pekee inayo waonyesha Simba timu yao ni yakawaida na hawana ukubwa wanao ufikiria.
Wao wanabeba mabonanza tu mapinduzi cupManeno ya mkosaji hamkosi la kujitetea nyie mashabiki wa Uto
kama ninyi ni bora basi mnge beba ligi kuu
kama ninyi ni bora mngebeba pia ilo kombe la Azam Confederatio Cup
Sema nini.... Lwanga aliingiza kichwa kwa nguvu sna ndio maana mkaumia na hamkubali ukweli.Kilichotuangusha Yanga ni Red Card. Laiti kama ile card isingekuwepo palikuwepo uwezekano mkubwa wa Yanga kuibuka washindi
Hebu fikiria kwa dakika 40+ Yanga imecheza wakiwa pungufu ya mtu mmoja lakini Simba kwa muda wote huo wameshindwa kabisa kuziona nyavu pamoja kuwa na wachezaji wao ambao wenyewe wanawaamini kupitiliza katika kutupia, Chama, Miquessone na Mugalu.
Sasa utajiuliza je Wananchi wangekua wametimia matokeo yangesema nini?
Yanga tusife moyo uwanjani tulikua bora,goli tulilofungwa yawezekana kabisa jua lililokua likipiga upande ule lilichangia sana kwa kipa na mabeki kutouona mpira vizuri ikumbukwe hata kipindi cha kwanza kona walizokua wakipiga Yanga upande ule jua liliwasumbua sana hasa Aishi Manula na Mabeki
Ýanga tusife moyo hakika tulikua bora zaidi yao uwanjani, hakika hawa siku zao zinahesabika wacha tushushe vifaa vya uhakika wakiweno Heritier Makambo, Fistoo Mayele na Shabaan Djumaa.
Simba wanaweza wakatamba kwa timu zote Ila si kwa Yanga, Yanga ndio timu pekee inayo waonyesha Simba timu yao ni yakawaida na hawana ukubwa wanao ufikiria.
Huu ndiyo ubora? Nendeni mkashitaki CAS ili Simba wanyang'anywe lile kombeKilichotuangusha Yanga ni Red Card. Laiti kama ile card isingekuwepo palikuwepo uwezekano mkubwa wa Yanga kuibuka washindi
Hebu fikiria kwa dakika 40+ Yanga imecheza wakiwa pungufu ya mtu mmoja lakini Simba kwa muda wote huo wameshindwa kabisa kuziona nyavu pamoja kuwa na wachezaji wao ambao wenyewe wanawaamini kupitiliza katika kutupia, Chama, Miquessone na Mugalu.
Sasa utajiuliza je Wananchi wangekua wametimia matokeo yangesema nini?
Yanga tusife moyo uwanjani tulikua bora,goli tulilofungwa yawezekana kabisa jua lililokua likipiga upande ule lilichangia sana kwa kipa na mabeki kutouona mpira vizuri ikumbukwe hata kipindi cha kwanza kona walizokua wakipiga Yanga upande ule jua liliwasumbua sana hasa Aishi Manula na Mabeki
Ýanga tusife moyo hakika tulikua bora zaidi yao uwanjani, hakika hawa siku zao zinahesabika wacha tushushe vifaa vya uhakika wakiweno Heritier Makambo, Fistoo Mayele na Shabaan Djumaa.
Sasa ubora wenu ulikuwa kwenye nini kitakwimu?Mmewazidi Simba kwa idadi ya kadi Nyekundu?ndio ubora wenu?Kilichotuangusha Yanga ni Red Card. Laiti kama ile card isingekuwepo palikuwepo uwezekano mkubwa wa Yanga kuibuka washindi
Hebu fikiria kwa dakika 40+ Yanga imecheza wakiwa pungufu ya mtu mmoja lakini Simba kwa muda wote huo wameshindwa kabisa kuziona nyavu pamoja kuwa na wachezaji wao ambao wenyewe wanawaamini kupitiliza katika kutupia, Chama, Miquessone na Mugalu.
Sasa utajiuliza je Wananchi wangekua wametimia matokeo yangesema nini?
Yanga tusife moyo uwanjani tulikua bora,goli tulilofungwa yawezekana kabisa jua lililokua likipiga upande ule lilichangia sana kwa kipa na mabeki kutouona mpira vizuri ikumbukwe hata kipindi cha kwanza kona walizokua wakipiga Yanga upande ule jua liliwasumbua sana hasa Aishi Manula na Mabeki
Ýanga tusife moyo hakika tulikua bora zaidi yao uwanjani, hakika hawa siku zao zinahesabika wacha tushushe vifaa vya uhakika wakiweno Heritier Makambo, Fistoo Mayele na Shabaan Djumaa.
Technical delay zisizo na faida?kwa hiyo goli lilirudi?kama delay nyingi zilifanyika na lengo la delay goli lisirudi na halikurudi hiyo sauti ya mbwata kulia kuwa hazikuwa na faida inatoka wapi?