BASIASI JF-Expert Member Joined Sep 20, 2010 Posts 9,732 Reaction score 5,006 Feb 4, 2012 #1 ndugu zanguni nimesikia tu mwishoni mtangazaji akiwapa simba pole embu tusaidiane imefungwa ngapi mpaka akatuzalilisha hivi mtangazaji wa clouds??
ndugu zanguni nimesikia tu mwishoni mtangazaji akiwapa simba pole embu tusaidiane imefungwa ngapi mpaka akatuzalilisha hivi mtangazaji wa clouds??
Chimo JF-Expert Member Joined Aug 31, 2008 Posts 714 Reaction score 361 Feb 4, 2012 #2 Kakikalia kimoja tu kwa waburuza mkia villa squad asante kwa nsa job
Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 57,951 Reaction score 32,619 Feb 5, 2012 #3 yaalaaahhh yashababiiii mhh mpira auna adabu kweli kwa villa loh
Kigarama JF-Expert Member Joined Apr 23, 2007 Posts 2,492 Reaction score 1,230 Feb 5, 2012 #4 Pdidy said: yaalaaahhh yashababiiii mhh mpira auna adabu kweli kwa villa loh Click to expand... kweli mpira hauna adabu ilikuwaje tukawashindilia bao sita mwaka uleee!!?
Pdidy said: yaalaaahhh yashababiiii mhh mpira auna adabu kweli kwa villa loh Click to expand... kweli mpira hauna adabu ilikuwaje tukawashindilia bao sita mwaka uleee!!?