bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 9,530
- 20,988
Hii kitu imenipa maswali kadhaa kichwani je club yetu bado ni ya wanachama au ishakua ya mtu binafsi?
imewezekanaje msimu wa 23/24 umeisha na mwingine huu wa 24/25 ume anza bila kua na mkutano mkuu wala kusomewa budget ya mapato na matumizi?
Ina maana timu yetu inajiendea tu kama timu ya ndondo au ni nini hasa kinafichwa?mwaka jana walitusomea bajeti na mafanikio ya WhatsApp channel japo ya uongo na kweli lakini afadhari walitimiza wajibu , hii club ina shida sehemu ndio maana Mzee Rage alituita jina la ajabu na Kaduguda akakazia