Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jumuiya ya mtakatifu nani?Mimi mwenyewe ni muhasibu kwenye jumuiya sijasoma mapato na matumizi maisha yanaendela...ila kikubwa hesabu zipo vzr wakitaka nawapa shida muda unabana..nadhani na Simba ni kama mimi..
😃😃😃😃😃😃
Ya mt.Anthony wa Padua..Jumuiya ya mtakatifu nani?
Kuna tatizo kubwa sana hapo Simba ni vile tu wanachama wenyewe ni wapiga kelele, hivi timu ya wanachama inawezaje kumaliza msimu wa kimashindano ika anza mwingine bila mkutano mkuu hata ndondo hatufanyi hivyoTimu inajiendea tu; wanaona mashabiki hawana maana ya kusomewa taarifa.
Mungu kawapeni akili na utashi hata vitu ambavyo havihitaji akili nyingi mnataka kumchosha Mungu, hapo ndiyo neno mbumbumbu fc linakujaTunamwachia Mungu.
Inamaanisha Hakuna wanachama hapo bali kuna mashabiki kwa maana mwanachama ana haki kikatiba ya kuhoji mapato na matumizi na mambo mengine yaliyomo,(yaliyo ainishwa), kwenye katiba yanayo kuhusu, mimi sina haki ya kuhoji kwasababu siyo mwanachama ila huwa napenda mawazo fikirishiKuna tatizo kubwa sana hapo Simba ni vile tu wanachama wenyewe ni wapiga kelele, hivi timu ya wanachama inawezaje kumaliza msimu wa kimashindano ika anza mwingine bila mkutano mkuu hata ndondo hatufanyi hivyo
Mangunga pia anategemea nguvu ya wanachama kama haipo waache kulalamika kwenye blanketi na mashukaBaadae mna muandama Mangungu watu wenyewe ndio hawa kama wewe
Kuna mfumo flani wa uchawa umekopiwa kutoka kwenye vyama vya siasa umeingizwa kwenye mpira wale wanachama maarufu kwenye online TV wanapewa fungu kazi yao ni kusifia tu hata ujingaMangunga pia anategemea nguvu ya wanachama kama haipo waache kulalamika kwenye blanketi na mashuka
Kumbe tuko jumuia mojaYa mt.Anthony wa Padua..
Ahaha ila mitaaa tofauti...Kumbe tuko jumuia moja
Hahahahaha, inawezekanaAhaha ila mitaaa tofauti...
Unatupigia kelele tu, timu ni ya Mudi ns Dada zake!Hii kitu imenipa maswali kadhaa kichwani je club yetu bado ni ya wanachama au ishakua ya mtu binafsi?
imewezekanaje msimu wa 23/24 umeisha na mwingine huu wa 24/25 ume anza bila kua na mkutano mkuu wala kusomewa budget ya mapato na matumizi?
Ina maana timu yetu inajiendea tu kama timu ya ndondo au ni nini hasa kinafichwa?mwaka jana walitusomea bajeti na mafanikio ya WhatsApp channel japo ya uongo na kweli lakini afadhari walitimiza wajibu , hii club ina shida sehemu ndio maana Mzee Rage alituita jina la ajabu na Kaduguda akakazia
Ndio maana siku ya 5imba day alikua anatambulisha ukoo wake akamuacha MangunguUnatupigia kelele tu, timu ni ya Mudi ns Dada zake!