Mlitaka wawaite kwenye kikao muwapige marungu?Hii kitu imenipa maswali kadhaa kichwani je club yetu bado ni ya wanachama au ishakua ya mtu binafsi? imewezekanaje msimu wa 23/24 umeisha na mwingine huu wa 24/25 ume anza bila kua na mkutano mkuu wala kusomewa budget ya mapato na matumizi?
Ina maana timu yetu inajiendea tu kama timu ya ndondo au ni nini hasa kinafichwa?mwaka jana walitusomea bajeti na mafanikio ya WhatsApp channel japo ya uongo na kweli lakini afadhari walitimiza wajibu , hii club ina shida sehemu ndio maana Mzee Rage alituita jina la ajabu na Kaduguda akakazia
rodrick alexander , OKW BOBAN SUNZU , Kalpana , Scars eti ni kweli mapato na matumizi hayajasomwa hadi msimu umeanza? Au yalitangaza kimya kwa wanabodi pekee kisiri siri?Hii kitu imenipa maswali kadhaa kichwani je club yetu bado ni ya wanachama au ishakua ya mtu binafsi? imewezekanaje msimu wa 23/24 umeisha na mwingine huu wa 24/25 ume anza bila kua na mkutano mkuu wala kusomewa budget ya mapato na matumizi?
Ina maana timu yetu inajiendea tu kama timu ya ndondo au ni nini hasa kinafichwa?mwaka jana walitusomea bajeti na mafanikio ya WhatsApp channel japo ya uongo na kweli lakini afadhari walitimiza wajibu , hii club ina shida sehemu ndio maana Mzee Rage alituita jina la ajabu na Kaduguda akakazia
Mimi mwenyewe ni muhasibu kwenye jumuiya sijasoma mapato na matumizi maisha yanaendela...ila kikubwa hesabu zipo vzr wakitaka nawapa shida muda unabana..nadhani na Simba ni kama mimi..rodrick alexander , OKW BOBAN SUNZU , Kalpana , Scars eti ni kweli mapato na matumizi hayajasomwa hadi msimu umeanza? Au yalitangaza kimya kwa wanabodi pekee kisiri siri?
Mapato na matumizi yatatangazwa hadi muweze kutamka vizuri simba nguvu moja badala ya simba guvu moyaa!Si mmeshasajiliwa Debora na Lionel Messa? Mnataka nini tena.
Mapato na matumizi yameshatangazwa, tajiri katumia bil 7 kusajili...
Simba nguvu moya
Atahoji wapi kwa Whatsapp?, Ndiyo maana tunasema tatizo la simba ni wanachama kama wapo inawezekana simba ina mashabiki tu wanachama wameondoka, (wako likizo), wengine tunajaribu kuwafungua mafuvu,(tunawaamsha ubongo)Ajabu hakuna mwanachama yoyote anaehoji hii kitu
Chukua ile ya mwaka jana uisome maisha yaendeleeHii kitu imenipa maswali kadhaa kichwani je club yetu bado ni ya wanachama au ishakua ya mtu binafsi? imewezekanaje msimu wa 23/24 umeisha na mwingine huu wa 24/25 ume anza bila kua na mkutano mkuu wala kusomewa budget ya mapato na matumizi?
Ina maana timu yetu inajiendea tu kama timu ya ndondo au ni nini hasa kinafichwa?mwaka jana walitusomea bajeti na mafanikio ya WhatsApp channel japo ya uongo na kweli lakini afadhari walitimiza wajibu , hii club ina shida sehemu ndio maana Mzee Rage alituita jina la ajabu na Kaduguda akakazia
Wamesha ambiwa waahirishe furaha hadi timu ijengweChukua ile ya mwaka jana uisome maisha yaendelee
Hata YouTube amekuwa anaongea mengi nawao wahoji insta ama kupitia YouTube, ngoja wapate akili, mbona suluhisho lipoLakin si Kanji alishasema kwenye kikao cha "insta live" kuwa kapata hasara???
Huu ni udhaifu mkubwa wa Menejimenti ya Simba. Kama haiwezekani kuitisha mkutano wangeweka taarifa husika hata katika Simba APP yao.Hii kitu imenipa maswali kadhaa kichwani je club yetu bado ni ya wanachama au ishakua ya mtu binafsi? imewezekanaje msimu wa 23/24 umeisha na mwingine huu wa 24/25 ume anza bila kua na mkutano mkuu wala kusomewa budget ya mapato na matumizi?
Ina maana timu yetu inajiendea tu kama timu ya ndondo au ni nini hasa kinafichwa?mwaka jana walitusomea bajeti na mafanikio ya WhatsApp channel japo ya uongo na kweli lakini afadhari walitimiza wajibu , hii club ina shida sehemu ndio maana Mzee Rage alituita jina la ajabu na Kaduguda akakazia
Swali fikirishi kama menejimenti haitaki kufanya hivyo mtafanyaje?Huu ni udhaifu mkubwa wa Menejimenti ya Simba. Kama haiwezekani kuitisha mkutano wangeweka taarifa husika hata katika Simba APP yao.
Tunamwachia Mungu.Swali fikirishi kama menejimenti haitaki kufanya hivyo mtafanyaje?
Sijakosea kabisa kukutag mkuu mpambanaji wa nguvu wa Simba, komaa nao mama ukishindwa niambie nikuletee mawe.Endeleeni kuhangaika mpaka mtage....