Simba imeyaheshimisha mashindano ya Kombe la Mapinduzi

Simba imekua KITUKO cha mwaka baada ya kuandaa Jezi ya ubingwa wakati wanajua timu yao bila kubebwa na marefa haiwezi kushinda matokeo yake wanatafuta pa kujificha...
Ni Aibu Kwa Kweli [emoji16]
 
Ramli ni mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msijitoe ufahamu, tuliwafunga kwenye kombe la jamii ,msijitoe ufahamu kuwa majuzi tu baada ya kuweka wachezaji wengi wa nje ndio mnatoka kimchezo, simba sisi tokea enzi na enzi tunarekodi nzuri sana . Nyie vimiaka kadhaa haileti tija ,mpewe heka heka tokea 1977 hadi na leo eti vimiaka 6 tu unaona mnalamaana.

Mtukome sisi sio ligi yenu katafute wachovu wenzio mtishiane you wiĺl never be Simba even what.
 
Simba imekua KITUKO cha mwaka baada ya kuandaa Jezi ya ubingwa wakati wanajua timu yao bila kubebwa na marefa haiwezi kushinda matokeo yake wanatafuta pa kujificha...
Ni Aibu Kwa Kweli [emoji16]
Uongo huo mweupe eti kubebwa tangia lini wana mbeleko
 
Mlipokea bahasha yenye kiasi gani cha fedha ili kuuza hiyo mechi? Maana haiwezekani timu kama simba kufungwa na timu inayotoka kwenye ligi dhaifu ya Zanzibar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…