Simba imgeukie Masoud Djuma

Simba imgeukie Masoud Djuma

Mkuu, huu utafiti umeufanyia wapi na kwa namna ipi? Yaani makelele ya Manara yawatie hofu wachezaji wa timu yake? Wakati mwingine ni bora kukaa kimya
Anawasifia Sana kiasi kwamba kama wakishindwa inaonekana ni aibu ya mwaka. Haji pia anawaaminisha wachezaji kuwa Yanga ni adui Yao mkubwa namba moja duniani kuliko Mbao, ndanda, As Vita, Mashujaa, Bandari, nk. Hii inawasababisha wachezaji waiwaze Yanga zaidi katika kila mechi.
Haji inaifananisha Simba na man city, man u, Barcelona, real Madrid psg bila kujuwa kuwa wachezaji watalitia tembo maji.
 
Hivi mnaweza kuonyesha uhusiano uliopo kati ya kelele za Manara na matokeo ya Simba? Yule anahamasisha watu wajaze uwanja, na pengine amefanikiwa sana. Kazi ya kocha na wachezaji haziathiriwi moja kwa moja na kelele zake. Hivi ndio kusema bila Haji Manara kuongea, Simba ingezifunga timu ngumu kama mabingwa wa DRC AS Vita? Kama TP Mazembe habebi ubingwa mbele ya Vita, ajabu ipi Simba kufungwa? Simba kuifunga Nkana na kuiondoa mashindanoni, unaona ni kitu cha kawaida tu?
Ukisha ujanja uwanja itakubidi ucheze Kwa tahadhari na hofu ya kuogopa kuudhi umati dhidi ya Yanga
 
Sasa uliza uambiwe, makocha kuanzia Omog hadi huyu wa sasa hakuna alowahi elewana na huyo jamaa hadi akawa anawagawa na wachezaji.

Aussien tu ndiyo kabaki ila wengie waliamua kuondoka kisa yeye. Simba ilipitia kipindi kigumu kisa huyo, kila mechi aliyopewa aongoze kaboronga.
Kwanini wachezaji hawakumpuuza Mosoud dhidi ya makocha wakuu kama Aussein? Kama walimsikiliza basi alikuwa na hoja zilizoeleweka Kwa wachezaji kama vile Ole Sosha wa Man U anavyoeleweka Kwa wachezaji wale wale ambao hawakuwa wanapata matokeo chini ya Moirhino
 
Mtoa post utakuwa mwana Jangwani unataka kuleta migogoro kwa timu,niambie masudi wako alichukua kombe lipi baada ya kupewa timu?
Mosoud alikuta mfumo butu wa omong akaja na mgumo wake mpya ambao uliwatatiza wachezaji Kwa siku za mwanzo lakini walipoanza kuuzoea simba ikawa mtambo wa mabao hadi ilipokutwa na Aussein na kuanzisha wa kwake wa hovyo, na hapo ndipo ugomvi na Djuma na Aussens ulipoanzia.
 
Mtu wa Kwanza wa kufukuza Simba ni Haji Manara. Huyu anasababisha wachezaji kucheza Kwa hofu kubwa kutokana na Manara kuwakweza Sana Kwa mashabiki, viongozi wa nchi na jamiikwa jumla
Umeongea UKWELI, pamoja na uhamasishaji wake, ametumia jukwaa la Simba kujijenga binafsi zaidi ha hilo ndio linamtoa kwenye reli ya kuwa msemaji makini(professional)
 
Mosoud alikuta mfumo butu wa omong akaja na mgumo wake mpya ambao uliwatatiza wachezaji Kwa siku za mwanzo lakini walipoanza kuuzoea simba ikawa mtambo wa mabao hadi ilipokutwa na Aussein na kuanzisha wa kwake wa hovyo, na hapo ndipo ugomvi na Djuma na Aussens ulipoanzia.
Kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfumo wa Masoud ndio uliotumika hata alipokuja Leschante na ukawasaidia kuchukua ubingwa kabla ya kumaliza mechi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachezaji wengi pale Simba wapo kwaajili ya maslahi lakini hawaipendi timu kabisa. Wachezaji kama niyonzima, Okwi, ndemla, mo Ibrahim, chama, Wawa, Bocco ni hela Tu sio mapenzi.
Wachezaji wa vilabu vikubwa duniani pia wanaangalia maslahi na sio mapenzi (Neymar kutoka Barca mpaka PSG) wachezaji wanaweza kuhama klabu muda wowote kufuata maslahi hivyo kazi ya mapenzi kwa timu ni ya mashabiki sio wachezaji.
 
Kwa Simba ni tofauti kabisa, mchezaji Simba anasugua bench mpaka lakini hayuko tayari kuhama Simba kwasababu ya senti za mo, mchezaji anasajiliwa simba akifahamu kabisa kuwa anakwenda kusugua bench, hii ndio tofauti ya Nymar na niyon, ndemla, mo Ibrahim na wengine maandazi. Ulaya mchezaji hata kama atalipwa kiasi gani kama hachezeshwi anakunja ngumi.
 
Back
Top Bottom