Simba imrudishe Ajib, jana alilia uwanjani Inonga alipoumizwa, hawa ndio wafia timu

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Jana wakati Hija Ugando anacheza rafu ya bahati mbaya, mm kwangu nasema hakudhamiria, dhidi ya Inonga Baka, kiungo mahiri ambaye kiukweli nampenda sana na ananivutia hadi kesho ufundi wake uwanjani, Ibrahim Ajib aliinama chini akafunika jezi yake akiwa anatokwa machozi.

Mtu anaweza asiamini lakn Ajib alikuwa anaona kabisa kuwa kile kidonda alichopewa Inonga ni pigo kwa nchi kuelekea mchezo na Power Dynamo, Ajib anacheza Coastal lkn anataka kurudisha kiwango ili arudi msimbazi ambapo mm naona kabisa bado kwa wachezaji wazawa, fundi huyu wa mpira bado ana uwezo.

Jana, alikuwa akisambaza pasi za upendo nyingi tu, kwa vile wachezaji wengi wa Coastal ni wachanga walishindwa kumudu mchezo na kasi ya mnyama, hivi kweli Jimsson Mwanuke au hao akina Onana au Micquisone wanamzidi nn Ajibu?

Viongozi wa Simba wakae na Ajib wamrudishe dirisha dogo, Ajib anahitaji USIMAMIZI mzuri ili arudi kwenye kiwango chake, nchi hakuna mchezaji anayepiga pasi rula au kuzungusha kiungo zaidi ya Ajibu, huyo Mzamiru tunayempenda hana akili hata kidogo, kila siku kazi kuwaudhi mashabiki.

Kama Ajib angevumiliwa kama alivovumiliwa Mzamiru Leo tungekuwa tunaongea mengine sana kwa fundi huyu, nakusihi fundi wa mpira Ajib endelea kupambana Coastal Union inshaallah mashabiki zako tunatibia ubani urudi unyamani.

Wewe na Shaaban Chilunda mnanivutia sana uwezo wenu dimbani, basi tu huyu mbrazil mwenye mguu mbovu anazingua sana
 
Viongozi wa Simba wakae na Ajib wamrudishe dirisha dogo, Ajib anahitaji USIMAMIZI mzuri ili arudi kwenye kiwango chake, nchi hakuna mchezaji anayepiga pasi rula au kuzungusha kiungo zaidi ya Ajibu, huyo Mzamiru tunayempenda hana akili hata kidogo, kila siku kazi kuwaudhi mashabiki.Kama Ajib angevumiliwa kama alivovumiliwa Mzamiru Leo tungekuwa tunaongea mengine sana kwa fundi huyu, nakusihi fundi wa mpira Ajib endelea kupambana Coastal Union inshaallah mashabiki zako tunatibia ubani urudi unyamani.Wewe na Shaaban Chilunda mnanivutia sana uwezo wenu dimbani, basi tu huyu mbrazil mwenye mguu mbovu anazingua sana
Mkwavi anakaaje mjini?

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Jana wakati Hija Ugando anacheza rafu ya bahati mbaya, mm kwangu nasema hakudhamiria, dhidi ya Inonga Baka, kiungo mahiri ambaye kiukweli nampenda sana na ananivutia hadi kesho ufundi wake uwanjani, Ibrahim Ajib aliinama chini akafunika jezi yake akiwa anatokwa machozi.

Mtu anaweza asiamini lakn Ajib alikuwa anaona kabisa kuwa kile kidonda alichopewa Inonga ni pigo kwa nchi kuelekea mchezo na Power Dynamo, Ajib anacheza Coastal lkn anataka kurudisha kiwango ili arudi msimbazi ambapo mm naona kabisa bado kwa wachezaji wazawa, fundi huyu wa mpira bado ana uwezo.

Jana, alikuwa akisambaza pasi za upendo nyingi tu, kwa vile wachezaji wengi wa Coastal ni wachanga walishindwa kumudu mchezo na kasi ya mnyama, hivi kweli Jimsson Mwanuke au hao akina Onana au Micquisone wanamzidi nn Ajibu?

Viongozi wa Simba wakae na Ajib wamrudishe dirisha dogo, Ajib anahitaji USIMAMIZI mzuri ili arudi kwenye kiwango chake, nchi hakuna mchezaji anayepiga pasi rula au kuzungusha kiungo zaidi ya Ajibu, huyo Mzamiru tunayempenda hana akili hata kidogo, kila siku kazi kuwaudhi mashabiki.

Kama Ajib angevumiliwa kama alivovumiliwa Mzamiru Leo tungekuwa tunaongea mengine sana kwa fundi huyu, nakusihi fundi wa mpira Ajib endelea kupambana Coastal Union inshaallah mashabiki zako tunatibia ubani urudi unyamani.

Wewe na Shaaban Chilunda mnanivutia sana uwezo wenu dimbani, basi tu huyu mbrazil mwenye mguu mbovu anazingua sana
Anagawa pasi za upendo kwa kikosi C cha Coastal Union ndio maana zilikuwa hazotoi matunda.

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Alilia kumbe???mi nadhani alisikitika tu kama wengine cos jeraha lilikuwa kubwa,...imagune ntuzi 13 si kitoto..
 
Kuna jirani yangu pia alilia sana.Alicheza Simba miaka ya 2000s.Mrudisheni
 
Back
Top Bottom