Manara Amefukuzwa Simba itakatwaa Kombe la Azam Federation pale Kigoma, Bao la Tadeo Lwanga Uto akipigwa.
Simba ameendelea kufika Robo Fainali ya CAF Champions ambayo hiyo Utopolo haijawahi kufika tokea kuumbwa kwake.
Mwaka 2023 Simba katwaa Ngao ya Hisani, mwaka 2024 Simba ni Finalist wa Mapinduzi Cup, bado atafika Robo Fainali ya CAF unataka simba afanye kipi.
HAtua ya kimashindano aliyofikia Simba, itamchukua Yanga Miaka 10 au zaidi kuifikia.
Simba yuko nominated kucheza Mtoano7 wa Kombe la Dunia la Vilabu! Ni lini uto atafika huko???