Simba imuombe radhi Manara Ili iendelee kubeba makombe

Ngao ya jamii sio kombe mkuu....at least mngebeba mapinduzi cup
 
Wanasubiri kiongozi wao aende akaombe kwa rais was FIFA Kama alivyoenda kuomba kwa rais wa CAF timu yao ishiriki afl
 
Yeye ndio Mungu anaejua hatima ya Simba sc.

Acha kumpa sifa za umungu

Acha kufanya mwanaume mwenzako kuwa mungu mtu

Huyo mungu angekuwa anajua hatima ya Simba tayari angekuwa ameisaidia kubeba kombe la Africa!
 
Yanga alipokaa miaka 4 bila kubeba Kombe alikua amemkosea nani vile?
Yanga walikuwa wanapitia economic depression [emoji23][emoji23]....enzi wanatembeza bakuri
 
U're mistaken mr
Hivi huwaga hujitazami katika kioo?

Hebu jitazame yaani pua yako na ya Zaylissa ni zimefanana mno.

So unapompigia promo Haji ina maana kubwa sana ndugu, vinginevyo usingehangaika kupost ujinga wa jinga kubwa Haji.

Huyo ni shemejio, na aliyekutuma hapa uwasilishe ujinga wa Haji ni huyo huyo unayefanana naye pua 😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…