Hussein Massanza
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 1,016
- 2,195
Comrade una hoja ya msingi. Ila sikushauri uingie sana kwenye hizi siasa za simba na Yanga. Maana zinaweza kukutoa kwenye mstari. Mimi nakushauri uwekeze zaidi nguvu zako kwenye kujenga brand ya timu yako ya Singida Black Stars.Naanza kupata mashaka. Inawezekana Simba nayo inadhaminiwa na makampuni ya GSM kimya kimya. Kwanini kila wakicheza na Yanga wanafungwa? Hii ni mara ya nne mfululizo hawapati matokeo.
Nasema hivi kwa sababu imejengeka dhana kwamba timu zote zinazofanya biashara na GSM zinagawa points kwa Yanga ambayo ndio partner mkuu wa GSM. Achilia mbali Azam ambao wanadhamini timu zote 16 za Ligi Kuu.
Simba tuambizane ukweli, kama hoja ni points au kufungwa na Yanga kisa udhamini wa GSM, mbona na nyie mnafungwa kizembe sana!?
Msimu huu tutapimiana kipimo kile kile!
Ana hoja ya msingi, timu yake imekuwa ikisakamwa sana kila ikutanapo na Yanga.Comrade una hoja ya msingi. Ila sikushauri uingie sana kwenye hizi siasa za simba na Yanga. Maana zinaweza kukutoa kwenye mstari. Mimi nakushauri uwekeze zaidi nguvu zako kwenye kujenga brand ya timu yako ya Singida Black Stars.
Hizi siasa za simba na Yanga ungetuachia wenyewe. Ni ombi tu lakini, huku nikitambua wazi ya kwamba una haki na uhuru wa kutoa maoni yako humu jukwaani.
Kwamba mke wa Karia kufanya kazi GSM ni dhambi?Wazee wa Simba wamesema mmoja wa watendaji wa TFF mkewe anafanya kazi GSM, mambo ya ajabu kwelikweli.
Kama ingekuwa ushindi wa Yanga unapatikana kwa njia tofauti na kikosi imara GSM angetumia pesa nyingi kufanya sajili kubwa? Mmesahau Yanga walitoa kiasi gani kumsajili Aziz Ki achilia mbali mshahara mkubwa anaopokea?
Mpira wa sasa umehamia kwenye uwekezaji, Simba wanapaswa kuondoka kwenye fikra za kizamani.
Comrade una hoja ya msingi. Ila sikushauri uingie sana kwenye hizi siasa za simba na Yanga. Maana zinaweza kukutoa kwenye mstari. Mimi nakushauri uwekeze zaidi nguvu zako kwenye kujenga brand ya timu yako ya Singida Black Stars.
Hizi siasa za simba na Yanga ungetuachia wenyewe. Ni ombi tu lakini, huku nikitambua wazi ya kwamba una haki na uhuru wa kutoa maoni yako humu jukwaani.
Acha waendelee kutafuta mchaw...badala ya kuboresha kikosi[emoji23][emoji23]Wazee wa Simba wamesema mmoja wa watendaji wa TFF mkewe anafanya kazi GSM, mambo ya ajabu kwelikweli.
Kama ingekuwa ushindi wa Yanga unapatikana kwa njia tofauti na kikosi imara GSM angetumia pesa nyingi kufanya sajili kubwa? Mmesahau Yanga walitoa kiasi gani kumsajili Aziz Ki achilia mbali mshahara mkubwa anaolipwa?
Mpira wa sasa umehamia kwenye uwekezaji, Simba wanapaswa kuondoka kwenye fikra za kizamani.
Nimeona pia Sportpesa anazamini Fountain GateAzam anadhamini namungo wala hawaongei. Azam anaidhamini APR ya Rwanda na bado Azam haohao wametolewa CAFCC na APR wanaowadhamini
Mkwasa alikuwa huko MetlKwamba mke wa Karia kufanya kazi GSM ni dhambi?
Hivi Kwa mfano mke wa Ali kamwe hawezi kuajiriwa metl ya mo akapiga kazi?
Mpira sio uadui