Simba inaelekea wapi?

"MASHABIKI WA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE WANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE WANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
 
Mkuu haya ni matokeo ya makosa ya Aziz Baka na Job kukosa penati
 
Ww tuite tuu hilo jina...mbona ss tunalienzi jina lenu la Mazuzu FC au wenye akili ni 2?

Halafu ww unaumia nini? Inashangaza sana yani kwa uliyoyaorodhesha hapo unaona kipi kipya ambacho labda ni tofauti na timu zingine either zimeshapitia au zinapitia....unataka tuache shughuli zetu tuandamane? Ili iweje ss... tunaipenda timu yetu vile itakavyokua....
Hivi ushashika quality ya jezi ya Yanga na ya Simba in terms of texture? Acha porojo ww...
 
Tarehe 20 siyo mbali
Mtani mbumbumbu
 
simba inaelekea kigoma kucheza na mashujaa
 
Simba inatoka mashariki inaelekea kusini,kaskazini au magharibi!!!!
 
Haya mbumbumbu
Endeleeni kushangilia Goli la yanga lililodhulumiwa
 
Kuvunja mikataba ya wachezaji wote itakua sh ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…