LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,491
- 12,560
Kuanzia benchi la ufundi,wachezaji, mishahara posho na fedha za kuendesha timu kwa mwezi, sidhani kama inapungua nusu bilioni pale.
Now timu imetolewa kwenye kombe lenye hela nyingi CAF tena raundi ya kwanza tu, now tunarudi kwenye ligi ambayo haina fedha za viingilio wala fedha za motisha kama CAF, CAF msimu uliopita tulicheza mechi za nyumbani 5, timu ilipata fedha nyingi kwenye viingilio
Na kila hatua simba iliyoingia ilimwagiwa mabilioni na CAF, sasa mapema tu tumeaga naiona hasara hapa anayoenda kuingia Dewji ni kubwa, fedha alizowekeza msimu huu kuzirudisha ni ngumu
Pia nitoe ushauri kwa timu tujitahidi kupata matokeo ugenini na tuache kutegemea mechi za nyumbani, na tuache kudharau timu sisizo na majina makubwa maana hata leo simba ni kama akili zao hazikuwepo uwanjani kabisa, ni kama hii timu hatukuitilia maanani, labda wachezaji walijua ni timu raisi.