Upande wa pili Zahera aliweka mahitaji yake kwa kumchunguza mchezaji anayemhitaji na hii ndio tofauti kubwa Sana itakayoonekana uwanjani na kwenye benchi la ufundiKocha hakutataja majina bali alitaja aina ya wachezaji anaowataka...alitaka mshambuliaji, kaletewa mbrazili yeye kaona hafai ila ni mshambuliaji.....viungo wakabaji kaletewa, mabeki kaletewa...pwenti yako ya kwanza ni haina mashiko...
Hakuna mbrazil mbovu hata mmoja pale, timu imesajili kila idara, tatizo lako wewe huna kocha.Tatizo la Simba n kukosa nidhamu
1.Nidhamu ya kuheshimu maelekezo ya benchi la ufundi una uongozi unasajili tu wabarazil bila kuzingatia mahitaji ya kocha
2.Nidhamu ya benchi la ufundi kutatua tatizo la beki ambalo limejirudia tena mwaka huu
3.Psychological team building kwa mchezaji Mmoja Mmoja
Kama tutamfukuza kocha na kumuajiri hata Matola kwa kikosi hiki huyo Yanga hatoki na ubingwa tunachukua. Shida yetu sisi sio benchi lote la ufundi, ni Aussems peke yake.Upande wa pili Zahera aliweka mahitaji yake kwa kumchunguza mchezaji anayemhitaji na hii ndio tofauti kubwa Sana itakayoonekana uwanjani na kwenye benchi la ufundi
Najua hutaamini lakini naona Sasa Simba atakuwa nawakati mgumu pia kwenye zote atakazokutana na Yanga nakwasasa huu n Mwanzo wa mfarakano
Duh,nahisi wewe ndio Manara mwenyeweKama tutamfukuza kocha na kumuajiri hata Matola kwa kikosi hiki huyo Yanga hatoki na ubingwa tunachukua. Shida yetu sisi sio benchi lote la ufundi, ni Aussems peke yake.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Duh,nahisi wewe ndio Manara mwenyewe
Hahahaha, jamaa anatajwa kwa majina yake yote
Kwani kuna timu inayojiendesha kwa faida?Kuanzia benchi la ufundi,wachezaji, mishahara posho na fedha za kuendesha timu kwa mwezi, sidhani kama inapungua nusu bilioni pale.
Now timu imetolewa kwenye kombe lenye hela nyingi CAF tena raundi ya kwanza tu, now tunarudi kwenye ligi ambayo haina fedha za viingilio wala fedha za motisha kama CAF, CAF msimu uliopita tulicheza mechi za nyumbani 5, timu ilipata fedha nyingi kwenye viingilio
Na kila hatua simba iliyoingia ilimwagiwa mabilioni na CAF, sasa mapema tu tumeaga naiona hasara hapa anayoenda kuingia Dewji ni kubwa, fedha alizowekeza msimu huu kuzirudisha ni ngumu
Pia nitoe ushauri kwa timu tujitahidi kupata matokeo ugenini na tuache kutegemea mechi za nyumbani, na tuache kudharau timu sisizo na majina makubwa maana hata leo simba ni kama akili zao hazikuwepo uwanjani kabisa, ni kama hii timu hatukuitilia maanani, labda wachezaji walijua ni timu raisi.