Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Kwa nilivyoiona hii klabu ya simba Mimi kama mchambuzi wa maswala ya soka Sina ushabiki wowote wa timu za Tanzania ni kwamba hii timu hamna kitu ilichokifanya kule Libya na jumapili inaenda kudharirsha taifa naomba nieleweke simba hamna kitu mule timu ni mbovu sijawahi kuona na huyo kocha sijui ubongo Hana maana kazungukwa na magarasa na yeye mwenyewe hamna kitu kichwani aisee simba itachakazwa vibaya sana na waarabu wakiongozwa na mabululu