Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Kwa nilivyoiona hii klabu ya simba Mimi kama mchambuzi wa maswala ya soka Sina ushabiki wowote wa timu za Tanzania ni kwamba hii timu hamna kitu ilichokifanya kule Libya na jumapili inaenda kudharirsha taifa naomba nieleweke simba hamna kitu mule timu ni mbovu sijawahi kuona na huyo kocha sijui ubongo Hana maana kazungukwa na magarasa na yeye mwenyewe hamna kitu kichwani aisee simba itachakazwa vibaya sana na waarabu wakiongozwa na mabululu
Simba ni mbumbumbu mpaka mashabiki zakeWewe Sio Mchambuzi....
Wewe ni Utopolo...............
Isemee Yanga Yako.......
Mnyama achana naye..
Ubaya Ubwela.....................!
Lazima utimieInshalah maneno na utabiri wako ukatimie
Sawa bintiwatu wengi wasio na shuguri ya kufanya wamejificha kwenye uchambuzi
Sawa bintiHamna hata ka data ka uongo uongo kusindikiza kelele Yako mkuu!?
Simba ikitolewa litakuwa pigo moja takatifu na mwanzo wa pilika pilika za bahasha za mnyama ligi kuu maana ndo kombe pekee litabaki wagombanie. Tujiandae kwa penati za mchongo na magoli ya offside!!Yaani mji utapoaaa wapiga mgenga wakitulizwa kama Azam.....
Mimi sio shabiki wa Simba lakini wewe sio mchambuzi bali ni mpuuzi fulani hivi. Yaani mtu ashindwe kukufunga nyumbani kwake tena uwanja ukiwa full house halafu ndio aje ashinde ugenini!!!?Kwa nilivyoiona hii klabu ya simba Mimi kama mchambuzi wa maswala ya soka Sina ushabiki wowote wa timu za Tanzania ni kwamba hii timu hamna kitu ilichokifanya kule Libya na jumapili inaenda kudharirsha taifa naomba nieleweke simba hamna kitu mule timu ni mbovu sijawahi kuona na huyo kocha sijui ubongo Hana maana kazungukwa na magarasa na yeye mwenyewe hamna kitu kichwani aisee simba itachakazwa vibaya sana na waarabu wakiongozwa na mabululu
Mbumbumbu wewe jwneng galaxy na ud songo waliwafanyaje nyie mbumbumbu fcMimi sio shabiki wa Simba lakini wewe sio mchambuzi bali ni mpuuzi fulani hivi. Yaani mtu ashindwe kukufunga nyumbani kwake tena uwanja ukiwa full house halafu ndio aje ashinde ugenini!!!?
Hivi hujiulizi ni kwanini Mashabiki wa Tripoli walikasirika na kuanzisha fujo, hujui kuwa walishaona kama wameshindwa kupata matokeo pale nyumbani kwao basi hawatakuwa na namna ya wao kushinda Tz.
Usimba na Uyanga unatufanya tuwe wapuuzi sana.
JUMAPILI BAADA YA GAME UJE TENA HAPA NA UCHAMBUZI WAKO RAMLI
Simba walikandwa na waarabu 3-0 na Raja Casablanca apa kwa Mkapa, Simba alitolewa na UD songo apo kwa MkapaMimi sio shabiki wa Simba lakini wewe sio mchambuzi bali ni mpuuzi fulani hivi. Yaani mtu ashindwe kukufunga nyumbani kwake tena uwanja ukiwa full house halafu ndio aje ashinde ugenini!!!?
Hivi hujiulizi ni kwanini Mashabiki wa Tripoli walikasirika na kuanzisha fujo, hujui kuwa walishaona kama wameshindwa kupata matokeo pale nyumbani kwao basi hawatakuwa na namna ya wao kushinda Tz.
Usimba na Uyanga unatufanya tuwe wapuuzi sana.
JUMAPILI BAADA YA GAME UJE TENA HAPA NA UCHAMBUZI WAKO RAMLI
UD Songo na Raja Casablanca kipindi kile walikuwa bora sana kuliko timu yoyote ukanda huu wa Africa Mashariki. Sio timu hii ya Tripoli ambayo inafungwa hata na Mashujaa. Au kwa vile ni waarabu na walijaza uwanja ndio unaona ni litimu fulani linalotisha sanaSimba walikandwa na waarabu 3-0 na Raja Casablanca apa kwa Mkapa, Simba alitolewa na UD songo apo kwa Mkapa
Wale sio hiyo ya Tripoli. Najua mnatamani sana Simba itolewe ndio maana mnakuja na chambuzi zenu pumba.Mbumbumbu wewe jwneng galaxy na ud songo waliwafanyaje nyie mbumbumbu fc
π€£Mimi sio shabiki wa Simba lakini wewe sio mchambuzi bali ni mpuuzi fulani hivi. Yaani mtu ashindwe kukufunga nyumbani kwake tena uwanja ukiwa full house halafu ndio aje ashinde ugenini!!!?
Hivi hujiulizi ni kwanini Mashabiki wa Tripoli walikasirika na kuanzisha fujo, hujui kuwa walishaona kama wameshindwa kupata matokeo pale nyumbani kwao basi hawatakuwa na namna ya wao kushinda Tz.
Usimba na Uyanga unatufanya tuwe wapuuzi sana.
JUMAPILI BAADA YA GAME UJE TENA HAPA NA UCHAMBUZI WAKO RAMLI
Wala hujakoseawatu wengi wasio na shuguri ya kufanya wamejificha kwenye uchambuzi