Ingekuwa Simba inaongozwa kwa akili kubwa mngefungwa mara nne mfululizo ?Simba wamenyooka sana kwenye haya mambo ya sheria na kanuni,hadi wafanye jambo ujue wameshajihakikishia kwamba wako sahihi.
Yanga walipanga hujuma kuwafunga Simba kwa uonevu wakawanyima uwanja wa mazoezi na vurugu juu,Simba wakaona isiwe kesi ni kuandika chapisho moja kwamba hawachezi.
Yanga walishapanga mazingira ya mechi,nje ya uwanja na ndani,kwanza rushwa halafu kuwaharibu wachezaji wa simba kisaikolojia,Simba wakaona ili heshima iwepo basi hawachezi,Yanga walishaandaa mazingira ya ajabu ndo maana wakang'a ng'ania mechi.
Simba imetoa tamko mara moja, baada ya hapo bado ya ligi ,TFF na Yanga hawajui la kufanya kila mtu anakuja na tamko lake
Bigirimana alicheza tena ile mechi tunawagonga goli mbili za Mayele alishiliki kimvisha sanda marehemuBigirimana chezaji la newcaster chezaji la Epl lililetwa kwenye uchaguzi
Baada ya hapo akaibukia FIFA na kuwachaza vibaya sana, Vipi kuhusu Kambole?
Simba ilifika uwanjani kwa ajili ya mazoezi ya mwisho kabla ya mechi yake na Yanga siku inayofuatia. Lakini yakatokea yaliyotokea ambayo kila mtu anayajua.Simba wamenyooka sana kwenye haya mambo ya sheria na kanuni,hadi wafanye jambo ujue wameshajihakikishia kwamba wako sahihi.
Yanga walipanga hujuma kuwafunga Simba kwa uonevu wakawanyima uwanja wa mazoezi na vurugu juu,Simba wakaona isiwe kesi ni kuandika chapisho moja kwamba hawachezi.
Yanga walishapanga mazingira ya mechi,nje ya uwanja na ndani,kwanza rushwa halafu kuwaharibu wachezaji wa simba kisaikolojia,Simba wakaona ili heshima iwepo basi hawachezi,Yanga walishaandaa mazingira ya ajabu ndo maana wakang'a ng'ania mechi.
Simba imetoa tamko mara moja, baada ya hapo bado ya ligi ,TFF na Yanga hawajui la kufanya kila mtu anakuja na tamko lake
Hii kawaida sana Kwa Simba na Yanga, kuna video ya watu wa yanga, wakiongoza wanahabari wa Yanga wakitamba na Mlataba feki wa Yusuphu Kagoma.Tukaleta manzoki ili tuchaguliwe tuendelee kuongoza kwa akili kubwa
Leteni timu uwanjani tarehe ikipangwa ili mtoe hiko kipigo. 😁😁Akili kubwa ya kukimbia kipigo cha mara ya 5 mfululizo.
sasa Yanga inaingiaje hapa wakati simba ndo inaongozwa kwa akili!!😄😄, kibegi ni mafanikio ya klabu inayoongozwa kwa akili😂😂🙌🙌Hii kawaida sana Kwa Simba na Yanga, kuna video ya watu wa yanga, wakiongoza wanahabari wa Yanga wakitamba na Mlataba feki wa Yusuphu Kagoma.
Simba hawakusema wamemsajiri Manzoki, ila yanga walionyesha na mkataba kabisa.
Lakini kama unakumbuka watu waliahidi kufikia mwezi wa nne mwaka jana uwanja utanza kujengwa na magreda ya kusawazishwa yakaletwa nini kinachoendelea mpaka leo.
😂😂😂😂😂Nyie mlio msajili kagoma na anacheza simba akili mtoe wapi?
Sisi hatukua na mkataba na Lawi,wala hatukumsajiliNyie wenye akili mlimsajili Lawi na anacheza Coastal Union
Ila kwakua ni mbumbumbu mkamtambulisha kwenye page yenuSisi hatukua na mkataba na Lawi,wala hatukumsajili
MTU AKIITWA AKIWA MBUMBU, AKIPEWA ELIMU, UMBUMBU UNAMTOKA, HIVYO MBUMBU NI BORA KULIKO KUTO KUWA NA AKILI, KAMA INAVYOFAHAMIKA KUWA YANGA WENYE AKILI WAWILI TU.Yule jamaa aliyewaita mbumbumbu analiona mbali sana
Ni kweli wanajua sheria. Vp usajili wa Lawi?Simba wamenyooka sana kwenye haya mambo ya sheria na kanuni,hadi wafanye jambo ujue wameshajihakikishia kwamba wako sahihi.
Yanga walipanga hujuma kuwafunga Simba kwa uonevu wakawanyima uwanja wa mazoezi na vurugu juu,Simba wakaona isiwe kesi ni kuandika chapisho moja kwamba hawachezi.
Yanga walishapanga mazingira ya mechi,nje ya uwanja na ndani,kwanza rushwa halafu kuwaharibu wachezaji wa simba kisaikolojia,Simba wakaona ili heshima iwepo basi hawachezi,Yanga walishaandaa mazingira ya ajabu ndo maana wakang'a ng'ania mechi.
Simba imetoa tamko mara moja, baada ya hapo bado ya ligi ,TFF na Yanga hawajui la kufanya kila mtu anakuja na tamko lake
Bange.Simba wamenyooka sana kwenye haya mambo ya sheria na kanuni,hadi wafanye jambo ujue wameshajihakikishia kwamba wako sahihi.
Yanga walipanga hujuma kuwafunga Simba kwa uonevu wakawanyima uwanja wa mazoezi na vurugu juu,Simba wakaona isiwe kesi ni kuandika chapisho moja kwamba hawachezi.
Yanga walishapanga mazingira ya mechi,nje ya uwanja na ndani,kwanza rushwa halafu kuwaharibu wachezaji wa simba kisaikolojia,Simba wakaona ili heshima iwepo basi hawachezi,Yanga walishaandaa mazingira ya ajabu ndo maana wakang'a ng'ania mechi.
Simba imetoa tamko mara moja, baada ya hapo bado ya ligi ,TFF na Yanga hawajui la kufanya kila mtu anakuja na tamko lake
Mangungu ndo mweye akili siyo? Basi ccm wana akiliSimba wamenyooka sana kwenye haya mambo ya sheria na kanuni,hadi wafanye jambo ujue wameshajihakikishia kwamba wako sahihi.