Simba inafaamika sana nje ya nchi kuliko Yanga

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Niwape hongera zao Simba kwa kuwa maarufu nje ya Tanzania kuliko Yanga. Mimi ni shabiki wa Yanga na kila mtu anajua lakini huu ni ukweli.

Nina marafiki zangu wengi ambao wametoka katika nchi za Kiarabu na wengine katika nchi za Bara la Asia wengine Afrika.

Tukianza kuzunguza mambo ya mipira kuna baadhi ya asilimia kubwa ambayo wanajua Simba tu, ukiwaambia kuhusu Yanga hawajui kabisa.

Kwa Yanga ni Mayele ndio anafahamika zaidi na wengine wanafikiria anacheza Simba. Niwape hongera zao Simba naamini Yanga tupo njani.
 
..
IMG-20230504-WA0016.jpg
 
Niwape ongera Zao Simba kwa kuwa maarufu nje ya Tanzania kuliko yanga
Mimi ni shabiki wa yanga na kila mtu anajua lakini huu ni ukweli
Nina marafiki zangu wengi ambao wametoka katika nchi za kiarabu na wengine katika nchi za Bara la Asia wengine afrika
Tukianza kuzunguza mambo ya mipira Kuna baadhi ya asilimia kubwa ambayo wanajua Simba tu ukiwaambia kuhusu yanga hawajui kabisa
Kwa yanga ni mayele ndo anafahamika zaidi na wengine wanafikiria anacheza Simba
Ni wape ongera zao Simba na amini yanga tupo njani
UMECHELEWA KUJUA.....

DAH,
 
Sasa hii inahusiana vipi na Yangu kuingia fainali na kuchukua kombe Shirikisho mwaka huu?
 
Niwape ongera Zao Simba kwa kuwa maarufu nje ya Tanzania kuliko yanga
Mimi ni shabiki wa yanga na kila mtu anajua lakini huu ni ukweli
Nina marafiki zangu wengi ambao wametoka katika nchi za kiarabu na wengine katika nchi za Bara la Asia wengine afrika
Tukianza kuzunguza mambo ya mipira Kuna baadhi ya asilimia kubwa ambayo wanajua Simba tu ukiwaambia kuhusu yanga hawajui kabisa
Kwa yanga ni mayele ndo anafahamika zaidi na wengine wanafikiria anacheza Simba
Ni wape ongera zao Simba na amini yanga tupo njani
tapatalk_-1513554253_720x667.jpg
 
Niwape hongera zao Simba kwa kuwa maarufu nje ya Tanzania kuliko Yanga. Mimi ni shabiki wa Yanga na kila mtu anajua lakini huu ni ukweli.

Nina marafiki zangu wengi ambao wametoka katika nchi za Kiarabu na wengine katika nchi za Bara la Asia wengine Afrika.

Tukianza kuzunguza mambo ya mipira kuna baadhi ya asilimia kubwa ambayo wanajua Simba tu, ukiwaambia kuhusu Yanga hawajui kabisa.

Kwa Yanga ni Mayele ndio anafahamika zaidi na wengine wanafikiria anacheza Simba. Niwape hongera zao Simba naamini Yanga tupo njani.
Haya mmeshinda FAHAMIKA CUP
 
Huko mbele mtaitwa KENGE FC maana hakuna Simba lofa lofa kiasi hiki.
 
Niwape hongera zao Simba kwa kuwa maarufu nje ya Tanzania kuliko Yanga. Mimi ni shabiki wa Yanga na kila mtu anajua lakini huu ni ukweli.

Nina marafiki zangu wengi ambao wametoka katika nchi za Kiarabu na wengine katika nchi za Bara la Asia wengine Afrika.

Tukianza kuzunguza mambo ya mipira kuna baadhi ya asilimia kubwa ambayo wanajua Simba tu, ukiwaambia kuhusu Yanga hawajui kabisa.

Kwa Yanga ni Mayele ndio anafahamika zaidi na wengine wanafikiria anacheza Simba. Niwape hongera zao Simba naamini Yanga tupo njani.
HIVYO VITU VINGINE HAVINA MEDALI...SISI TUMENYOOKA NA KUTENGENEZA HISTORIA NA VICHWA VYA HABARI
 
Niwape hongera zao Simba kwa kuwa maarufu nje ya Tanzania kuliko Yanga. Mimi ni shabiki wa Yanga na kila mtu anajua lakini huu ni ukweli.

Nina marafiki zangu wengi ambao wametoka katika nchi za Kiarabu na wengine katika nchi za Bara la Asia wengine Afrika.

Tukianza kuzunguza mambo ya mipira kuna baadhi ya asilimia kubwa ambayo wanajua Simba tu, ukiwaambia kuhusu Yanga hawajui kabisa.

Kwa Yanga ni Mayele ndio anafahamika zaidi na wengine wanafikiria anacheza Simba. Niwape hongera zao Simba naamini Yanga tupo njani.
sio sabb ya sisi kushindwa kuendelea kuchukua makombe mbele yenu
 
Niwape hongera zao Simba kwa kuwa maarufu nje ya Tanzania kuliko Yanga. Mimi ni shabiki wa Yanga na kila mtu anajua lakini huu ni ukweli.

Nina marafiki zangu wengi ambao wametoka katika nchi za Kiarabu na wengine katika nchi za Bara la Asia wengine Afrika.

Tukianza kuzunguza mambo ya mipira kuna baadhi ya asilimia kubwa ambayo wanajua Simba tu, ukiwaambia kuhusu Yanga hawajui kabisa.

Kwa Yanga ni Mayele ndio anafahamika zaidi na wengine wanafikiria anacheza Simba. Niwape hongera zao Simba naamini Yanga tupo njani.
Hata MSOGA, au MCHONGA hawafahamiki nje lakini KIKWETE, NYERERE wanafahamika sana.
The same to YANGA, nje inafahamika kwa jina la YOUNG AFRICANS.
 
Back
Top Bottom