UMECHELEWA KUJUA.....Niwape ongera Zao Simba kwa kuwa maarufu nje ya Tanzania kuliko yanga
Mimi ni shabiki wa yanga na kila mtu anajua lakini huu ni ukweli
Nina marafiki zangu wengi ambao wametoka katika nchi za kiarabu na wengine katika nchi za Bara la Asia wengine afrika
Tukianza kuzunguza mambo ya mipira Kuna baadhi ya asilimia kubwa ambayo wanajua Simba tu ukiwaambia kuhusu yanga hawajui kabisa
Kwa yanga ni mayele ndo anafahamika zaidi na wengine wanafikiria anacheza Simba
Ni wape ongera zao Simba na amini yanga tupo njani
Sasa hii inahusiana vipi na Yangu kuingia fainali na kuchukua kombe Shirikisho mwaka huu?Niwape ongera Zao Simba kwa kuwa maarufu nje ya Tanzania kuliko yanga
Mimi ni shabiki wa yanga na kila mtu anajua lakini huu ni ukweli
Nina marafiki zangu wengi ambao wametoka katika nchi za kiarabu na wengine katika nchi za Bara la Asia wengine afrika
Tukianza kuzunguza mambo ya mipira Kuna baadhi ya asilimia kubwa ambayo wanajua Simba tu ukiwaambia kuhusu yanga hawajui kabisa
Kwa yanga ni mayele ndo anafahamika zaidi na wengine wanafikiria anacheza Simba
Ni wape ongera zao Simba na amini yanga tupo njani
Niwape ongera Zao Simba kwa kuwa maarufu nje ya Tanzania kuliko yanga
Mimi ni shabiki wa yanga na kila mtu anajua lakini huu ni ukweli
Nina marafiki zangu wengi ambao wametoka katika nchi za kiarabu na wengine katika nchi za Bara la Asia wengine afrika
Tukianza kuzunguza mambo ya mipira Kuna baadhi ya asilimia kubwa ambayo wanajua Simba tu ukiwaambia kuhusu yanga hawajui kabisa
Kwa yanga ni mayele ndo anafahamika zaidi na wengine wanafikiria anacheza Simba
Ni wape ongera zao Simba na amini yanga tupo njani
Kwasasa hakuna ufanano kati ya Yanga na Simba, gape limekuwa kubwa mpaka kimataifa. Mkubwa mmoja tu Tz kwa ss.UMECHELEWA KUJUA.....
DAH,
yanga
ongera
nchi za kiarabu
afrika
mayele
njani
mipira
Wanashiriki ligi ya super cup,ambayo nyie hampo!licha ya kuomba muwepoEeh imewasaidia nini?
Haya mmeshinda FAHAMIKA CUPNiwape hongera zao Simba kwa kuwa maarufu nje ya Tanzania kuliko Yanga. Mimi ni shabiki wa Yanga na kila mtu anajua lakini huu ni ukweli.
Nina marafiki zangu wengi ambao wametoka katika nchi za Kiarabu na wengine katika nchi za Bara la Asia wengine Afrika.
Tukianza kuzunguza mambo ya mipira kuna baadhi ya asilimia kubwa ambayo wanajua Simba tu, ukiwaambia kuhusu Yanga hawajui kabisa.
Kwa Yanga ni Mayele ndio anafahamika zaidi na wengine wanafikiria anacheza Simba. Niwape hongera zao Simba naamini Yanga tupo njani.
HIVYO VITU VINGINE HAVINA MEDALI...SISI TUMENYOOKA NA KUTENGENEZA HISTORIA NA VICHWA VYA HABARINiwape hongera zao Simba kwa kuwa maarufu nje ya Tanzania kuliko Yanga. Mimi ni shabiki wa Yanga na kila mtu anajua lakini huu ni ukweli.
Nina marafiki zangu wengi ambao wametoka katika nchi za Kiarabu na wengine katika nchi za Bara la Asia wengine Afrika.
Tukianza kuzunguza mambo ya mipira kuna baadhi ya asilimia kubwa ambayo wanajua Simba tu, ukiwaambia kuhusu Yanga hawajui kabisa.
Kwa Yanga ni Mayele ndio anafahamika zaidi na wengine wanafikiria anacheza Simba. Niwape hongera zao Simba naamini Yanga tupo njani.
ZAMALEK, BERKANE, RAJA CASABLANCA watashiriki? Vipi unawazidi chochote hizo timu?Wanashiriki ligi ya super cup,ambayo nyie hampo!licha ya kuomba muwepo
sio sabb ya sisi kushindwa kuendelea kuchukua makombe mbele yenuNiwape hongera zao Simba kwa kuwa maarufu nje ya Tanzania kuliko Yanga. Mimi ni shabiki wa Yanga na kila mtu anajua lakini huu ni ukweli.
Nina marafiki zangu wengi ambao wametoka katika nchi za Kiarabu na wengine katika nchi za Bara la Asia wengine Afrika.
Tukianza kuzunguza mambo ya mipira kuna baadhi ya asilimia kubwa ambayo wanajua Simba tu, ukiwaambia kuhusu Yanga hawajui kabisa.
Kwa Yanga ni Mayele ndio anafahamika zaidi na wengine wanafikiria anacheza Simba. Niwape hongera zao Simba naamini Yanga tupo njani.
Ni rahisi kutambulika sababu ya uzuzu wao.
Hata MSOGA, au MCHONGA hawafahamiki nje lakini KIKWETE, NYERERE wanafahamika sana.Niwape hongera zao Simba kwa kuwa maarufu nje ya Tanzania kuliko Yanga. Mimi ni shabiki wa Yanga na kila mtu anajua lakini huu ni ukweli.