Simba inafaamika sana nje ya nchi kuliko Yanga

Simba inafaamika sana nje ya nchi kuliko Yanga

Niwape hongera zao Simba kwa kuwa maarufu nje ya Tanzania kuliko Yanga. Mimi ni shabiki wa Yanga na kila mtu anajua lakini huu ni ukweli.

Nina marafiki zangu wengi ambao wametoka katika nchi za Kiarabu na wengine katika nchi za Bara la Asia wengine Afrika.

Tukianza kuzunguza mambo ya mipira kuna baadhi ya asilimia kubwa ambayo wanajua Simba tu, ukiwaambia kuhusu Yanga hawajui kabisa.

Kwa Yanga ni Mayele ndio anafahamika zaidi na wengine wanafikiria anacheza Simba. Niwape hongera zao Simba naamini Yanga tupo njani.
Ukijua historia ya Simba kuanzishwa kwake ,utakuja kuona ulichoondika ni pumba
 
WANANCHIIIIIIIIIIOOOOOOOOO. LEO NDIO ILE SIKU AMBAYO WANAYANGA WOTE TUNA BANG NAYO .
YAANI MAKOLO LEO NDIO RASMI WANAGEUZA VYOO MAHALA PAO PA KULILIA.
TUNAENDA KUTINGA FAINALI RASMI KWENYE ARDHI YA UGENINI.
MARK MY WORDS
 
Back
Top Bottom