Mwakamele 16
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 1,493
- 1,113
Sasa hapo Simba awakimbie nani? Umesahau huwa wanacheza 9 tu lakini mziki wake unakuwa na impact gani? Mimi nadhani kama kweli Simba hawatapeleka timu hiyo siku basi mshukuru Mungu maana mta aibika!Lazima wakimbie tu maana siku hizi ni watu wa sababu. Hebu fikiria kiongozi anasema TFF viongozi ni kabila MOJA. Kiongozi kama huyo atakosa kugomea mechi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app