Simba inafikiria kugomea kupeleka timu siku ya ngao ya hisani

Lazima wakimbie tu maana siku hizi ni watu wa sababu. Hebu fikiria kiongozi anasema TFF viongozi ni kabila MOJA. Kiongozi kama huyo atakosa kugomea mechi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hapo Simba awakimbie nani? Umesahau huwa wanacheza 9 tu lakini mziki wake unakuwa na impact gani? Mimi nadhani kama kweli Simba hawatapeleka timu hiyo siku basi mshukuru Mungu maana mta aibika!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endeleeni kusubiri na mpelekwe daraja la kwanza....!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hapo Simba awakimbie nani? Umesahau huwa wanacheza 9 tu lakini mziki wake unakuwa na impact gani? Mimi nadhani kama kweli Simba hawatapeleka timu hiyo siku basi mshukuru Mungu maana mta aibika!

Sent using Jamii Forums mobile app
Tena waombee kweli Simba sc, wasipeleke timu uwanjani,
Hao Kichuya pekee anawafunga siku zote.

Sasa pale mbele majembe yameongezeka na yameshaingia Msimbazi Street

Pale mbele kuna
Gyan, Okwi, Boko haram, Mavugo, Kichuya.

Kati kuna
Kotei, Hazilimana, Mkude, Mzamilu.

Nyuma kuna
Mwanjali, Tshabalala, Erasto, Mbonde, Kapombe.

Kwa hiyo beki ya
Yondani, Dante na Kanavaro jasho litawatoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…