Simba inahitaji Misimu 3 Kurudi Kwenye Ubora wa Kushindana na Yanga SC.

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Upo msimu ujao.

Msimu ambao panick buy ya wachezaji itafanyika pasi na kuzingatia vigezo na matakwa ya kiufundi. Msimu ambao hata mwalimu atakayrkuwa akiiongoza hatoweza kuwa na First 11 yake kwa sababu patakuwa na maingizo mengi yasiyo na ubora.

Msimu utaisha Matani atatawazwa Bingwa tena!

Msimu wa Pili ni msimuwa wa kuamka na kugundua pahala umejikwaa kwa haraka na pupa zako. Ndio msimu utakusanya watu sahihi wa kutafuta ushindi lakini bado watakwamishwa na ugeni wa Mwl mpya kwenye timu na kwenye Ligi.

Mtaamua kumvumilia kwa sababu hizo.

Msimu wa tatu maboresho mapya yatawazidi watani zenu lakini kwa bahati mbaya watani zenu watakuwa katika final peak ya ubora wa kizazi walicho nacho, yes nao hawatakumbuka kufanya recruitment ya fresh blood kwa kupumbazwa na mafanikio mafupi ya mataji mfululizo.

Lakini katika msimu wa nne ndipo uhondo wa Ligi Kuu utashuhudiwa zaidi kwa kuwa angalau kila mtu kwa mara ya kwanza katika historia ya soka la bongo atakuwa kwenye ubora wake wa zaidi ya asilimia 75.

Yes ni kipindi ambacho timu zote (kwa pamoja) zitajipata katika hatua za robo fainali kwenye michuano ya CAF.

(Sijasema Klabu Bingwa ama Shirikisho)

Simba SC wana safari ndefu ya kujiandaa na Maisha yao ya Zamani.
 
Misimu mi3, nyie mpira mnaujua kweli nyinyi. Mi3 yote simba anatafuta nini. Hapa tu kama simba akitafuta midfilder kisheti mmoja na striker mwenye kulijua goli na kukaa na mali mguuni kama mayele au zaidi ya mayele basi simba ni ya motoooo,

Yanga ndio inabidi waongeze kiwango chao kidooogo saana ili wawe bora kama simba ya misimu miwili nyuma, na ni uhakika wakirekebisha padoogo tu, msimu ujao yanga watakuwa bora kama simba ya misimu miwili ya nyuma.
 
Kwani Yanga hakucheza CAF mwaka huu? Au umesahau kwamba alipigwa nje ndani na Rivers utd?

Yanga Ipi Hiyo?
IMG_0289.jpg
 
Upo msimu ujao.

Msimu ambao panick buy ya wachezaji itafanyika pasi na kuzingatia vigezo na matakwa ya kiufundi. Msimu ambao hata mwalimu atakayrkuwa akiiongoza hatoweza kuwa na First 11 yake kwa sababu patakuwa na maingizo mengi yasiyo na ubora.

Msimu utaisha Matani atatawazwa Bingwa tena!

Msimu wa Pili ni msimuwa wa kuamka na kugundua pahala umejikwaa kwa haraka na pupa zako. Ndio msimu utakusanya watu sahihi wa kutafuta ushindi lakini bado watakwamishwa na ugeni wa Mwl mpya kwenye timu na kwenye Ligi.

Mtaamua kumvumilia kwa sababu hizo.

Msimu wa tatu maboresho mapya yatawazidi watani zenu lakini kwa bahati mbaya watani zenu watakuwa katika final peak ya ubora wa kizazi walicho nacho, yes nao hawatakumbuka kufanya recruitment ya fresh blood kwa kupumbazwa na mafanikio mafupi ya mataji mfululizo.

Lakini katika msimu wa nne ndipo uhondo wa Ligi Kuu utashuhudiwa zaidi kwa kuwa angalau kila mtu kwa mara ya kwanza katika historia ya soka la bongo atakuwa kwenye ubora wake wa zaidi ya asilimia 75.

Yes ni kipindi ambacho timu zote (kwa pamoja) zitajipata katika hatua za robo fainali kwenye michuano ya CAF.

(Sijasema Klabu Bingwa ama Shirikisho)

Simba SC wana safari ndefu ya kujiandaa na Maisha yao ya Zamani.
Yanga inaweza kusumbua sana lig ya BONGO ila kimataifa inahitaj miaka 5 had 10 kuifikia rekod ya SIMBA.
 
.
FB_IMG_1611660294488.jpg
 
Back
Top Bottom