Simba inajilinganisha na miamba ya Afrika lakini Yanga wamekomaa kujilinganisha na Simba

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Simba kimataifa kwa miaka ya karibuni inajitutumua ili iwe kama vilabu vikubwa barani Africa, Al Ahly, Zamalek, Al hilal, As Vitta, Nkana, TP Mazembe, Mamelod, Kaizer Chiefs nk

Lakini cha kushangaza watani wanataka kuvunja rekodi za Simba na muda wotewabajiringanishana kuiongelea Simba kama taifa, wakati Simba na yenyewe inajitafuta tu.

Sijaekewa maana yake nini
 
Wanaomlinganisha Camara na Diara ni akina nani? Debora na Aucho?

Ukipata majibu utabadili mtazamo ni anajilinganisha na mwenzake.

Na ukumbuke kabla ya Yanga kurudi kwenye michuano ya CAF mlikua mnaamini mafanikio ni Robo fainali ila kupitia Yanga saivi mnawaza fainali na ikiwezekana mbebe kombe kabisa.

Mkubali mkatae Yanga anafanya kazi kubwa sana kufika walipo vigogo wa Afrika. Na ukitaka kuamini hilo angalia anavyopambana kubakisha nyota wake hata kwa kuwapa mishahara mikubwa. Mlikua na timu nzuri na ilikua kwenye peak kabisa mkawauza CHAMA na Miqusone halafu mkaenda kusajili wachezaji Malawi. Je, anaejitumumua kupamba na vilabu vikubwa ana act hivyo?

Yanga kwa sasa wana timu nzuri na kama kuna hisia zinakujia anajilinganisha na Simba basi ni katika hali ya utani wa jadi. Mafanikio yetu tukamtambie nani? MWADUI? TP MAZEMBE?
 
Kama yanga ilijifunza Kwa Simba, na Simba Inajifunza Kwa yanga, kwasababu ni kweli Simba ilikuwa na matarajio ya kufika nusu fainali CAF champ, lakini badala ya kusonga mbele wamejikuta wakibaki palepale.

First time baada ya miaka mingi, yanga baada ya kufeli champions league Kwa kipigo na al hilal ya sudani Nguvu zao wakahamishia confederation na hayakuwa matarajio Tena ya kufika makundi, yalikuwa ni mafanikio kwenye kila mechi mpaka kufika fainali japo walifungwa Kwa Agg 2-1

Simba Sasa hivi wana matarajio ya kubeba confederation cup badala ya kupoteza fainali, Yanga wana matarajio ya kubeba champions league au angalau kufika fainali au nusu fainali.

Kila mtu amejifunza Kwa mwenzake kwa nyakati tofauti, na kila mmoja atajifunza Kwa mwenzake Kwa nyakati tofauti.

Yanga Ina kikosi kizuri, Simba bado inajijenga,Ila matokeo ya mpira pia yanashangaza.
 
Kuna kujilinganisha, na kuna uhalisia...!!

1727323709815.png
 
Agg haikuwa 2-1, bali ilikuwa 2-2 na wale jamaa walishinda kwa goli la ugenini. Wao magoli yao yote mawili waliyapata wakiwa ugenini wakati kwa Yanga, moja lilipatikana nyumbani na jingine ugenini..!!
 
Kama yanga ilijifunza Kwa Simba, na Simba Inajifunza Kwa yanga, kwasababu ni kweli Simba ilikuwa na matarajio ya kufika nusu fainali CAF champ, lakini badala ya kusonga mbele wamejikuta wakibaki palepale.

First time baada ya miaka mingi, yanga baada ya kufeli champions league Kwa kipigo na al hilal ya sudani Nguvu zao wakahamishia confederation na hayakuwa matarajio Tena ya kufika makundi, yalikuwa ni mafanikio kwenye kila mechi mpaka kufika fainali japo walifungwa Kwa Agg 2-1

Simba Sasa hivi wana matarajio ya kubeba confederation cup badala ya kupoteza fainali, Yanga wana matarajio ya kubeba champions league au angalau kufika fainali au nusu fainali.

Kila mtu amejifunza Kwa mwenzake kwa nyakati tofauti, na kila mmoja atajifunza Kwa mwenzake Kwa nyakati tofauti.

Yanga Ina kikosi kizuri, Simba bado inajijenga,Ila matokeo ya mpira pia yanashangaza.
Mimi binafsi naona hiyo spidi ya Simba iko sawa tu,
Kutoka robo fainali kwenda fainali si mbali,tangu uhuru hatujawahi kutoa timu yenye consinstence ya kufika hicho kiwango kwa miaka mitano mfululizo,hayo ni mafanikio ya vilabu vikubwa tu Africa
 
Kutoka robo fainali kwenda fainali si mbali,tangu uhuru hatujawahi kutoa timu yenye consinstence ya kufika hicho kiwango kwa miaka mitano mfululizo,hayo ni mafanikio ya vilabu vikubwa tu Africani

Mimi binafsi naona hiyo spidi ya Simba iko sawa tu,
Kutoka robo fainali kwenda fainali si mbali,tangu uhuru hatujawahi kutoa timu yenye consinstence ya kufika hicho kiwango kwa miaka mitano mfululizo,hayo ni mafanikio ya vilabu vikubwa tu Africa

Mimi binafsi naona hiyo spidi ya Simba iko sawa tu,
Kutoka robo fainali kwenda fainali si mbali,tangu uhuru hatujawahi kutoa timu yenye consinstence ya kufika hicho kiwango kwa miaka mitano mfululizo,hayo ni mafanikio ya vilabu vikubwa tu Africa
Ni kweli kwamba Simba imekuwa Bora Kwa kiwanga cha kumaintain kufika robo fainali, lakin malengo ya kusonga mbele zaidi yalima wayafikie.

Wanatakiwa kuimarisha timu Yao kila msimu, Ili wafike mbali zaidi, hvyo ndo wanavyofanya yanga, japo inaonekana nao bado siyo wazuri wakicheza na timu ngumu.
 
Kama yanga ilijifunza Kwa Simba, na Simba Inajifunza Kwa yanga, kwasababu ni kweli Simba ilikuwa na matarajio ya kufika nusu fainali CAF champ, lakini badala ya kusonga mbele wamejikuta wakibaki palepale.

First time baada ya miaka mingi, yanga baada ya kufeli champions league Kwa kipigo na al hilal ya sudani Nguvu zao wakahamishia confederation na hayakuwa matarajio Tena ya kufika makundi, yalikuwa ni mafanikio kwenye kila mechi mpaka kufika fainali japo walifungwa Kwa Agg 2-1

Simba Sasa hivi wana matarajio ya kubeba confederation cup badala ya kupoteza fainali, Yanga wana matarajio ya kubeba champions league au angalau kufika fainali au nusu fainali.

Kila mtu amejifunza Kwa mwenzake kwa nyakati tofauti, na kila mmoja atajifunza Kwa mwenzake Kwa nyakati tofauti.

Yanga Ina kikosi kizuri, Simba bado inajijenga,Ila matokeo ya mpira pia yanashangaza.
Agg 2-2
 
yalikuwa ni mafanikio kwenye kila mechi mpaka kufika fainali japo walifungwa Kwa Agg 2-1
Siyo kweli.
Aggregate 2-2.
Away goal rule (kanuni ya goli la ugenini)ndiyo iliwapa ubingwa USM Algers.
 
Simba kimataifa kwa miaka ya karibuni inajitutumua ili iwe kama vilabu vikubwa barani Africa, Al Ahly, Zamalek, Al hilal, As Vitta, Nkana, TP Mazembe, Mamelod, Kaizer Chiefs nk

Lakini cha kushangaza watani wanataka kuvunja rekodi za Simba na muda wotewabajiringanishana kuiongelea Simba kama taifa, wakati Simba na yenyewe inajitafuta tu.

Sijaekewa maana yake nini
Sikio ni sikio tuu kamwe haliwezi kuzidi kichwa hata lifanyeje
zinda pathan 😂😂😂😂.jpeg
 
Wanaomlinganisha Camara na Diara ni akina nani? Debora na Aucho?

Ukipata majibu utabadili mtazamo ni anajilinganisha na mwenzake.

Na ukumbuke kabla ya Yanga kurudi kwenye michuano ya CAF mlikua mnaamini mafanikio ni Robo fainali ila kupitia Yanga saivi mnawaza fainali na ikiwezekana mbebe kombe kabisa.

Mkubali mkatae Yanga anafanya kazi kubwa sana kufika walipo vigogo wa Afrika. Na ukitaka kuamini hilo angalia anavyopambana kubakisha nyota wake hata kwa kuwapa mishahara mikubwa. Mlikua na timu nzuri na ilikua kwenye peak kabisa mkawauza CHAMA na Miqusone halafu mkaenda kusajili wachezaji Malawi. Je, anaejitumumua kupamba na vilabu vikubwa ana act hivyo?

Yanga kwa sasa wana timu nzuri na kama kuna hisia zinakujia anajilinganisha na Simba basi ni katika hali ya utani wa jadi. Mafanikio yetu tukamtambie nani? MWADUI? TP MAZEMBE?
Labda hujanielewa,mimi naongelea katika ngazi ya kimataifa,yanga inajitutumua kuvunja rekodi za simba wakati simba yenyewe bado inapambana kuvunja rekodi xa vilabu vikubwa afrika,yanga wakitaka kufanikiwa wasijilinganishe na simba,kwa ngazi ya vilabu nchini hilo halina shida
 
Back
Top Bottom