Simba inajilinganisha na miamba ya Afrika lakini Yanga wamekomaa kujilinganisha na Simba

Simba inajilinganisha na miamba ya Afrika lakini Yanga wamekomaa kujilinganisha na Simba

Yaani mashabiki wengine mnatakiwa mchapwe viboko..Yanga anawaza kila Mamelod Sundown,Al ahaly ukoo unasema tuifikirie simba Iliyo shirikisho .Nyie ndo mnawaza wanaume maana hao ndio tutakaocheza nao
 
Back
Top Bottom