Kama yanga ilijifunza Kwa Simba, na Simba Inajifunza Kwa yanga, kwasababu ni kweli Simba ilikuwa na matarajio ya kufika nusu fainali CAF champ, lakini badala ya kusonga mbele wamejikuta wakibaki palepale.Wanaomlinganisha Camara na Diara ni akina nani? Debora na Aucho?
Ukipata majibu utabadili mtazamo ni anajilinganisha na mwenzake.
Na ukumbuke kabla ya Yanga kurudi kwenye michuano ya CAF mlikua mnaamini mafanikio ni Robo fainali ila kupitia Yanga saivi mnawaza fainali na ikiwezekana mbebe kombe kabisa.
Mkubali mkatae Yanga anafanya kazi kubwa sana kufika walipo vigogo wa Afrika. Na ukitaka kuamini hilo angalia anavyopambana kubakisha nyota wake hata kwa kuwapa mishahara mikubwa. Mlikua na timu nzuri na ilikua kwenye peak kabisa mkawauza CHAMA na Miqusone halafu mkaenda kusajili wachezaji Malawi. Je, anaejitumumua kupamba na vilabu vikubwa ana act hivyo?
Yanga kwa sasa wana timu nzuri na kama kuna hisia zinakujia anajilinganisha na Simba basi ni katika hali ya utani wa jadi. Mafanikio yetu tukamtambie nani? MWADUI? TP MAZEMBE?
Na kama timu yako haiko pot 1 kojoa ulaleπ€£π€£π€£Rank za caf zimetoka, Kama timu yako haipo kwenye 10 Bora kaa kimya.
Kuna kujilinganisha, na kuna uhalisia...!!Simba kimataifa kwa miaka ya karibuni inajitutumua ili iwe kama vilabu vikubwa barani Africa, Al Ahly, Zamalek, Al hilal, As Vitta, Nkana, TP Mazembe, Mamelod, Kaizer Chiefs nk
Lakini cha kushangaza watani wanataka kuvunja rekodi za Simba na muda wotewabajiringanishana kuiongelea Simba kama taifa, wakati Simba na yenyewe inajitafuta tu.
Sijaekewa maana yake nini
Yaani Yanga ijilinganishe na Simba, mna utani ninyi watoto wa 2000...
Pot 1 ya shirikisho au ya ligi ya mabingwa? Kichaka kingine mmekianzisha tayariNa kama timu yako haiko pot 1 kojoa ulaleπ€£π€£π€£
Agg haikuwa 2-1, bali ilikuwa 2-2 na wale jamaa walishinda kwa goli la ugenini. Wao magoli yao yote mawili waliyapata wakiwa ugenini wakati kwa Yanga, moja lilipatikana nyumbani na jingine ugenini..!!Kama yanga ilijifunza Kwa Simba, na Simba Inajifunza Kwa yanga, kwasababu ni kweli Simba ilikuwa na matarajio ya kufika nusu fainali CAF champ, lakini badala ya kusonga mbele wamejikuta wakibaki palepale.
First time baada ya miaka mingi, yanga baada ya kufeli champions league Kwa kipigo na al hilal ya sudani Nguvu zao wakahamishia confederation na hayakuwa matarajio Tena ya kufika makundi, yalikuwa ni mafanikio kwenye kila mechi mpaka kufika fainali japo walifungwa Kwa Agg 2-1
Simba Sasa hivi wana matarajio ya kubeba confederation cup badala ya kupoteza fainali, Yanga wana matarajio ya kubeba champions league au angalau kufika fainali au nusu fainali.
Kila mtu amejifunza Kwa mwenzake kwa nyakati tofauti, na kila mmoja atajifunza Kwa mwenzake Kwa nyakati tofauti.
Yanga Ina kikosi kizuri, Simba bado inajijenga,Ila matokeo ya mpira pia yanashangaza.
Pot 1 kwenye confederation cup [emoji23][emoji23][emoji23]Na kama timu yako haiko pot 1 kojoa ulale[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi binafsi naona hiyo spidi ya Simba iko sawa tu,Kama yanga ilijifunza Kwa Simba, na Simba Inajifunza Kwa yanga, kwasababu ni kweli Simba ilikuwa na matarajio ya kufika nusu fainali CAF champ, lakini badala ya kusonga mbele wamejikuta wakibaki palepale.
First time baada ya miaka mingi, yanga baada ya kufeli champions league Kwa kipigo na al hilal ya sudani Nguvu zao wakahamishia confederation na hayakuwa matarajio Tena ya kufika makundi, yalikuwa ni mafanikio kwenye kila mechi mpaka kufika fainali japo walifungwa Kwa Agg 2-1
Simba Sasa hivi wana matarajio ya kubeba confederation cup badala ya kupoteza fainali, Yanga wana matarajio ya kubeba champions league au angalau kufika fainali au nusu fainali.
Kila mtu amejifunza Kwa mwenzake kwa nyakati tofauti, na kila mmoja atajifunza Kwa mwenzake Kwa nyakati tofauti.
Yanga Ina kikosi kizuri, Simba bado inajijenga,Ila matokeo ya mpira pia yanashangaza.
Mimi binafsi naona hiyo spidi ya Simba iko sawa tu,
Kutoka robo fainali kwenda fainali si mbali,tangu uhuru hatujawahi kutoa timu yenye consinstence ya kufika hicho kiwango kwa miaka mitano mfululizo,hayo ni mafanikio ya vilabu vikubwa tu Africani
Mimi binafsi naona hiyo spidi ya Simba iko sawa tu,
Kutoka robo fainali kwenda fainali si mbali,tangu uhuru hatujawahi kutoa timu yenye consinstence ya kufika hicho kiwango kwa miaka mitano mfululizo,hayo ni mafanikio ya vilabu vikubwa tu Africa
Ni kweli kwamba Simba imekuwa Bora Kwa kiwanga cha kumaintain kufika robo fainali, lakin malengo ya kusonga mbele zaidi yalima wayafikie.Mimi binafsi naona hiyo spidi ya Simba iko sawa tu,
Kutoka robo fainali kwenda fainali si mbali,tangu uhuru hatujawahi kutoa timu yenye consinstence ya kufika hicho kiwango kwa miaka mitano mfululizo,hayo ni mafanikio ya vilabu vikubwa tu Africa
Agg 2-2Kama yanga ilijifunza Kwa Simba, na Simba Inajifunza Kwa yanga, kwasababu ni kweli Simba ilikuwa na matarajio ya kufika nusu fainali CAF champ, lakini badala ya kusonga mbele wamejikuta wakibaki palepale.
First time baada ya miaka mingi, yanga baada ya kufeli champions league Kwa kipigo na al hilal ya sudani Nguvu zao wakahamishia confederation na hayakuwa matarajio Tena ya kufika makundi, yalikuwa ni mafanikio kwenye kila mechi mpaka kufika fainali japo walifungwa Kwa Agg 2-1
Simba Sasa hivi wana matarajio ya kubeba confederation cup badala ya kupoteza fainali, Yanga wana matarajio ya kubeba champions league au angalau kufika fainali au nusu fainali.
Kila mtu amejifunza Kwa mwenzake kwa nyakati tofauti, na kila mmoja atajifunza Kwa mwenzake Kwa nyakati tofauti.
Yanga Ina kikosi kizuri, Simba bado inajijenga,Ila matokeo ya mpira pia yanashangaza.
Siyo kweli.yalikuwa ni mafanikio kwenye kila mechi mpaka kufika fainali japo walifungwa Kwa Agg 2-1
Sikio ni sikio tuu kamwe haliwezi kuzidi kichwa hata lifanyejeSimba kimataifa kwa miaka ya karibuni inajitutumua ili iwe kama vilabu vikubwa barani Africa, Al Ahly, Zamalek, Al hilal, As Vitta, Nkana, TP Mazembe, Mamelod, Kaizer Chiefs nk
Lakini cha kushangaza watani wanataka kuvunja rekodi za Simba na muda wotewabajiringanishana kuiongelea Simba kama taifa, wakati Simba na yenyewe inajitafuta tu.
Sijaekewa maana yake nini
Labda hujanielewa,mimi naongelea katika ngazi ya kimataifa,yanga inajitutumua kuvunja rekodi za simba wakati simba yenyewe bado inapambana kuvunja rekodi xa vilabu vikubwa afrika,yanga wakitaka kufanikiwa wasijilinganishe na simba,kwa ngazi ya vilabu nchini hilo halina shidaWanaomlinganisha Camara na Diara ni akina nani? Debora na Aucho?