Simba inajitahidi kuipandisha ligi ya Tanzania, Yanga inajitahidi kuishusha

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
3,078
Reaction score
5,882
HAPO VIP!

YANGA TOKEA DUNIA IUMBWE HAIJAWAHI KUINGIA TOP 10 ZA CAF KAMA TIMU BORA NA KUBWA BARANI AFRIKA.

TIMU BORA NA KUBWA NDANI YA NCHI YA YAKE NA NJE YA NCHI YAKE NI TIMU AMBAYO INAFANYA VIZURI KIMATAIFA:

SIMBA IMESHAFIKA NUSU FINAL YA CLUB BINGWA MWAKA 1974,FINAL YA SHIRIKISHO MWAKA 1993.NAROBO FINAL ZA CLUB BINGWA MARA 7

YANGA HAPA ANAROBO FINAL 1 TU YA CLUB BINGWA NA FINAL 1 YA SHIRIKISHO.

YANGA NI TIMU YA WAPUMBAVU,KISIASA NA KIJINGA WANAFIKIRI USHINDI WANAOPEWA KISIASA NA MAREFA WA NDANI ILI WACHUKUE MAKOMBE YA MBUZI ITAWASAIDIA..?NI UPUMBAVU WALIOKOSA DIRA KWASABABU MAKOMBE YA NDANI NI SAWA NA MAKOMBE YA MASHINDANO YA SHULE ZA SECONDARY AMBAYO HAIWEZI KUISAIDIA LIGI YETU KUPANDA KIMATAIFA ILA KIWANGO NA UBORA WAKO KIMATAIFA NDIO UKUBWA WAKO NA NDIO TIMU BORA NA KUBWA KILA MAHALI.HATA KAMA HANA HAYO MAKOMBE YA MBUZI HAUJACHIKUA.

SASA YANGA IMESHIRIKI CLUB BINGWA MSIMU ULIOPITA NA MSIMU HUU ILA IMEISHA MAKUNDI,YAANI WAMESHINDWA KUONYESHA NI NAMNA GANI HUWA WANACHUKUA HAYO MAKOMBE YA LIGI KUU KWA UWALALI...NDIO MAANA HUWA NASEMA KATIKA HAYO MAKOMBE ALIYONAYO YANGA KUNA MAKOMBE 20 YA MAREFA WALIOWEZESHA KUSHINDA KWA HILA..MFANO KAYOKO PALE ANAMAKOMBE YAKE 7. NA KUNA WANGINE WANAMAKOMBE YAO..HAPO UNAWEZA KUKUTA YANGA ANAMAKOMBE 12 YA HALALI.

HAWAJAMAA WALIVYOKUWA WAPUMBAVU UTASIKIA YANGA NDIO YA KWANZA KUANZISHWA..SASA MBONA PAMBA JIJI NA COASTAL UNION ZIMEANZISHWA KABLA YA AZAM,MAMELOD SUNDOWN NA BELAIZDAD SASA KWANINI ZISIWE KUBWA KULIKO HIZO TIMU KAMA UWAZISHWAJI NI KIGEZO CHA UKUBWA...ACHENI UPUUZI WASHABIKI WAYANGA.

LEO YANGA AMEDHIHIRISHA YAKWAMBA HUWA HANA UWEZO WA KUIFUNGA SIMBA ILA REFA NDIO HUWA ANAIFUNGAGA SIMBA.
 
Mmoja anaamini ili akue anatakiwa apambane. Mwingine anamini ili akue lazima ahakikishe anamuangusha yule. Kupanga ni kuchagua. Muhimu tuwafurahishe wale ili wajisahau halafu tuwatumie kupiga pesa
 
HAPO VIP!

YANGA TOKEA DUNIA IUMBWE HAIJAWAHI KUINGIA TOP 10 ZA CAF KAMA TIMU BORA NA KUBWA BARANI AFRIKA.

TIMU BORA NA KUBWA NDANI YA NCHI YA YAKE NA NJE YA NCHI YAKE NI TIMU AMBAYO INAFANYA VIZURI KIMATAIFA:

SIMBA IMESHAFIKA NUSU FINAL YA CLUB BINGWA MWAKA 1974,FINAL YA SHIRIKISHO MWAKA 1993.NAROBO FINAL ZA CLUB BINGWA MARA 7

YANGA HAPA ANAROBO FINAL 1 TU YA CLUB BINGWA NA FINAL 1 YA SHIRIKISHO.

YANGA NI TIMU YA WAPUMBAVU,KISIASA NA KIJINGA WANAFIKIRI USHINDI WANAOPEWA KISIASA NA MAREFA WA NDANI ILI WACHUKUE MAKOMBE YA MBUZI ITAWASAIDIA..?NI UPUMBAVU WALIOKOSA DIRA KWASABABU MAKOMBE YA NDANI NI SAWA NA MAKOMBE YA MASHINDANO YA SHULE ZA SECONDARY AMBAYO HAIWEZI KUISAIDIA LIGI YETU KUPANDA KIMATAIFA ILA KIWANGO NA UBORA WAKO KIMATAIFA NDIO UKUBWA WAKO NA NDIO TIMU BORA NA KUBWA KILA MAHALI.HATA KAMA HANA HAYO MAKOMBE YA MBUZI.

SASA YANGA IMESHIRIKI CLUB BINGWA MSIMU ULIOPITA NA MSIMU HUU ILA IMEISHA MAKUNDI,YAANI WAMESHINDWA KUONYESHA NI NAMNA GANI HUWA WANACHUKUA HAYO MAKOMBE YA LIGI KUU KWA UWALALI...NDIO MAANA HUWA NASEMA KATIKA HAYO MAKOMBE ALIYONAYO YANGA KUNA MAKOMBE 20 YA MAREFA WALIOWEZESHA KUSHINDA KWA HILA..MFANO KAYOKO PALE ANAMAOMBE YAKE 7. NA KUNA WANGINE WANAMAKOMBE YAO..HAPO UNAWEZA KUKUTA YANGA ANAMAKOMBE 12 YA HALALI.

HAWAJAMAA WALIVYOKUWA WAPUMBAVU UTASIKIA YANGA NDIO YA KWANZA KUANZISHWA..SASA MBONA PAMBA JIJI NA COASTAL UNION ZIMEANZISHWA KABLA YA AZAM,MAMELOD SUNDOWN NA BELAIZDAD SASA KWANINI ZISIWE KUBWA KULIKO HIZO TIMU KAMA UWAZISHWAJI NI KIGEZO CHA UKUBWA...ACHENI UPUUZI WASHABIKI WAYANGA.

LEO YANGA AMEDHIHIRISHA YAKWAMBA HUWA HANA UWEZO WA KUOFUNGA SIMBA ILA REFA NDIO HUWA ANAIFUNGAGA SIMBA.
Taja makosa ya refa siku ya leo?

Mimi nimeona makosa ya washika vibendera mara mbili,attempt ya Dube sio Offside, attemp ya Selemani sio Offside, japo kabla ya kuscore aliushika mpira.

Hebu nitajie makosa ya refa.... maana kama washika vibendera wagekuwa fair hii mechi wewe ungefungwa, maana ile attempt ya Dube, ingefanikiwa Yanga ndio wangeweka bus completely na kupoteza mda.

Offside siku zote washika vibendera ndio hupaswa kulaumiwa.
 
Hebu nitajie makosa ya refa.... maana kama washika vinendera wagekuwa fair hii mechi wewe ungefungwa, maana ile attempt ya Dube, ingefanikiwa Yanga ndio wangeweka bus completely na kupoteza mda.
Peleka hoja za kimaskini huko na duni...unakaa huko unaloko lokota vioja vyeusi vya kiafrika unaleta hapa kutaka kutetea ushetani.
 
Taja makosa ya refa siku ya leo?

Mimi nimeona makosa ya washika vibendera mara mbili,attempt ya Dube sio Offside, attemp ya Selemani sio Offside, japo kabla ya kuscore aliushika mpira.

Hebu nitajie makosa ya refa.... maana kama washika vibendera wagekuwa fair hii mechi wewe ungefungwa, maana ile attempt ya Dube, ingefanikiwa Yanga ndio wangeweka bus completely na kupoteza mda.

Offside siku zote washika vibendera ndio hupaswa kulaumiwa.
Hoja za jamii masikini tunajua ..za kisengx Sengx kama hii yakwako
 
Peleka hoja za kimaskini huko na duni...unakaa huko unaloko lokota vioja vyeusi vya kiafrika unaleta hapa kutaka kutetea ushetani.
Sasa unabishana mpaka na replay au hata wale watangazaji hukuwasikia? au ndio umeamua kubusha kama shipa wakati video replay zinakuumbua.
 
Taja makosa ya refa siku ya leo?

Mimi nimeona makosa ya washika vibendera mara mbili,attempt ya Dube sio Offside, attemp ya Selemani sio Offside, japo kabla ya kuscore aliushika mpira.

Hebu nitajie makosa ya refa.... maana kama washika vibendera wagekuwa fair hii mechi wewe ungefungwa, maana ile attempt ya Dube, ingefanikiwa Yanga ndio wangeweka bus completely na kupoteza mda.

Offside siku zote washika vibendera ndio hupaswa kulaumiwa.
Yaani ya mwalimu ni tayari goli ila ya Dube ilikuwa analitafuta goli,sasa usemeje simba angefungwa.Kichwa chako kimejaa mavi
 
Mfano mdogo tungekuwa na VAR ,pale tukio gani lilitakiwa kuexists au kabla ya kujibu kaangalie video replay,sababu kabla ya ile krosi Selemani alishika.Ila ninacho shukuru umekubali Dube haikuwa offside, sasa wewe unazani Dube hata angeruhusiwa alikuwa anakosa..... one against one? Huoni kichwa chako kimejaa uharo maana unajipa cheo cha utabiri.

Hii mechi refa hana makosa ila vibendera ndio wanastahili lawama.
 
Selemani Mwalimu hakushika mpira kwenye ile first touch, mpira ulitua kifuani. Shida ni kwamba Azam hawana camera za kutosha kuonyesha angle zote. Ila ukiangalia vizuri HAKUSHIKA MPIRA. Au tuseme uliamini maneno ya golikipa Diarra?
 
  • Thanks
Reactions: Tui

Kashika mpira kacontrol na mkono,leo nilikiwa kwenye kituo cha bus nimeona marudio ya match.
 
Ngungu boys kwenye moja mbili!

Hv yanga ndo alisababisha muwe nafasi ya nne kwenye makundi?

Yanga ndo alisababisha hadi sasa mpo wa nane kwenye msimamo wa caf kutoka wa tano?

Kaangalie kama yanga kwa sasa hayupo top 10 wewe ngungu boys upo wa nane

Yanga ndo alisababisha mkose ubingwa wa shirikisho caf?

Yanga ndo alisababisha mangungu awakimbie kikaoni?

Nawaambia mwaka huu mtakunyia moto na bado?
 
Kashika mpira kacontrol na mkono,leo nilikiwa kwenye kituo cha bus nimeona marudio ya match.
Ukiweza kuleta ushahidi wa picha za TV Suleiman Mwalimu akishika mpira weka namba yako nikutumie pesa ya vocha.
 
Back
Top Bottom